Magic powder! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magic powder!

Discussion in 'JF Doctor' started by jouneGwalu, Oct 24, 2011.

 1. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Hello wanajamvi.
  Salamu za upendo kwenu...
  Ningependa kufahamu madhara yatokanayo na matumizi ya "Magic Powder"
  kwa wale wasiofahamu jina hlo!
  Namaanisha ule unga unaotumika kunyolea hasa ndevu.
  Sikuhizi umekua maarufu sana kwenye hizi saloon zetu mtaani.
  Nataraji msaada wenu kwa hili.

  Nawasilisha!
   
 2. papason

  papason JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 2,317
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  Yaani nimeutumia juzi ( Jmosi) lakini adi leo Jtatu kidevu na usoni nina mauvi makali kabisaa na uso bado umevimba niapa kutoutumia tena!
   
 3. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  nilitumia mara ya kwanza wakati nasimamia harusi flani hvi.. Dah kidevu kilikuwa kizito kweli pia maumivu ya kama nyama imetoka. Ila uzuri wake nliona hamna ndevu hata moja hata upapase vipi. Nmekuwa mzito sana kutumia tena ile mambo
   
 4. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  mi natumia siku nyingine inaniunguza, ila nilichogundua nilikuwa nakosea kwenye ratio sasa hainisumbui; sijui labda kansa ya kidevu hapo baadae
   
 5. U

  Usiku huu Member

  #5
  Oct 25, 2011
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Natumia Magic powder for almost 2 yrs nw na haijaniletea madhara so far...
  Pengne watu wanakosea dk za kuacha huo mchanganyko kwenye ngoz, (unatakiwa uache kwa dk 4-6)..
  Isizid hapo, then unaosha uso na maji meng..
  Ni nzur xana, ipo pouwa..
  I encourage people to use, hasa wanaotoka na vipele wakinyoa ndevu..
  Nawasilisha
   
 6. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #6
  Oct 25, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  mh! sihusiki!
   
 7. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  kweli natamani nijue mchanganyiko wake wa chemical na ingridient zake ila hata kama naendelea kutumia niwe na confidence!
  Ila kwasasa pia naogopa kweli, nkichek mechanism yake inavyofanya kazi, inaonekana ni kali sana.
  Ni muhimu kujua side-effect zake kama zipo
   
 8. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #8
  Oct 25, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Pia natoka vipele mda mwingine, inategemea unyoaji wa kinyozi. Afu nina madevu mengi kweli, hivyo kila wiki inabidi nizichonge!
  Kweli magic powder inafanya kazi vizuri, hata mi nlpotumia mara hzo chache kidevu kilitulia, pia vipele havikutoka. Ila utenda wake ndio unanitisha ndio maana nkataka ufafanuzi wa kitaalum ili kama nkiendelea kutumia niwe na amani.
  Ahsante sana kwa kunipa moyo mkuu
   
 9. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #9
  Oct 25, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Usiogope fb, pia unahusika ndio maana umetia neno na nadhani utaendelea kufuatilia hadi tutakapopata jibu la kitaalamu.
  Nadhani unaweza kumshauri mtu wako kwa data za hapa.
  So usiondoke fb
   
 10. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #10
  Oct 25, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Kusema kweli hata mimi natumia 'Magic' regularly kwa mwaka mzima sasa, nimewahi kuungua mara chache kama ukikuta mchanganyaji hajui ratio yake na kuifanya kuwa nzito sana, kutoilowesha mara kwa mara wakati unasubiri ifanye kazi, na kuiacha kwa muda mrefu sana...akizingatia hayo huwezi kuungua wala kusikia kidevu kizito.

  Inasaidia sana kwa hypersensitive skin zinazotoa mapele baada ya kushave (ndilo tatizo langu kubwa lakini magic inanisaidia). hata mimi nimeshajiuliza sana mechanism yake ya kufanya kazi. Kuna chemical kwenye Magic ambazo zikiwa kwenye ratio husika basi zinachoma na kulegeza nywele/ndevu tu mpka kwenye root, na hivyo unavyokuja kukwaruza zinatoka tu. Na kwa sababu imekatwa kwenye level ya root basi inachelewa kuota na kupunguza risk ya mwasho na ngozi kuvimba mapele.

  Nilijaribu kufuatilia ingredients zake kama zina teratogenic effect (kusababisha kansa) au effect nyingine kwa ngozi lakini hakuna literature yeyote kuhusu hilo. Pia ni product ambayo watu wanatumia kwa muda mrefu sasa na only adverse effect ni kuungua skini iwapo anayekuhudumia hajui kuitumia vizuri (ratio, kulowesha na muda wa kusubiri).
   
 11. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #11
  Oct 25, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Sina jinsi ya kukushukuru vya kutosha ndugu yangu!
  Ahsante sana kwa maelezo yote.
   
Loading...