jouneGwalu
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 2,696
- 1,807
Hii ni kampuni kubwa ya kijerumani inahusika na uchimbaji wa mafuta na gas!!
Nimepitia site yao kwenye link hii ya Schlumberger .....
Naomba mpendwa yeyote mwenye kuifahamu kwa undani zaidi either kama ame/anafanya nao kazi hawa jamaa au ana mtu wake anayefanya kazi huko anishirikishe taarifa hizi:
Hii ni serious naomba msaada wa taarifa hizo, ni muhimu sana kwenye maamuzi ninayotaka kufanya katika career yangu!
Natanguliza shukrani kwa wote watakaonisaidia na kunipa michango stahiki!!!!

- Security ya kazi na hao jamaa ipoje?
- Je wana training za ndani kwa staff mpya?
- Vipi muundo wa utawala wao unaruhusu mtu kukua kitaaluma na nafasi?
- Mazingira ya ufanyaji kazi kwa ujumla yapoje?
- Na Package zao zipoje?