Wanaume wa kiafrika... hii bado ni challenge!

jouneGwalu

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
2,687
1,780
Nilikuwa napitia makabrasha hapa nikavutwa na maneno haya

"............
As the records show that the Black man is dying to go to bed with the White woman..........."

Botha's Speech -1985 - Racism At Its Worst.

Mifano mtaani na mazingira bado inaonyesha wanaume wengi bado tunaangukia hapa kwenye hizo records za Botha.
Hii ni changamoto sana hasa ambapo wengi sio sababu ya mapenzi ila kutoka kimaisha kama tunavyosema.

Mkuu inakuwa hivyo kwa huko Africa lakini ukiwa kwao yaani ughaibuni wanawake weupe ndo wanatamani sana kuwa na waafrica yaani watu weusi... Nionavyo mimi ni ile hamu ya kutaka kujua kuna nini tofauti. Ndio kutoka kimaisha nalo ni jambo linalochangia pia.
 
njaa mbaya sana

Nikipita mitaa ya Posta utawaona wale ma-ras wanajifanya ma-guide...
Kutwa wanahangaika na kukimbiza wazungu...
Mwisho wa siku wengine wanaolewa tu..
Njaa mbaya sana!
 
What about black woman aren't they die to go to bed with the white vibabu???
Ila sina nalo uhakika mkuu.....
Labda tupe rejea
Mi nimeleta kauli ya huyo jamaa Botha ambayo inaonekana kusimama
 
hivi hamjui white man fantasy is to go to bed with a black woman pia? by the way, Botha never had that speech
 
What about black woman aren't they die to go to bed with the white vibabu???

Hebu tujielekeze kwa hili la wanaume kuuza utu...
Ujinga wa wanawake hauwezi kuhalalisha ujinga wa wanaume...
Sisi ni vichwa mkuu!
 
hivi hamjui white man fantasy is to go to bed with a black woman pia? by the way, Botha never had that speech

Kwenye red hapo, hatubishani... hiyo nimechomoa sehemu ya hotuba ya Botha... unaweza uka-google!
Hili jingine linawezekana pia!
 
Kwa namna alivyoi-present naweza kusema inatokana na mahitaji ya mtu binafsi na haiishii kwa mwanaume mweusi tu bali kuna wanaume na wanawake wa rangi zote ambao ndoto zao ni kuwa na partner wa asili/rangi/utaifa mwingine tofauti na wake.
 
Ahsante Kiongozi!
Pia concern yangu imekuwa atleast mtu uendeshwe juu ya mapendo!
Nimekazia kwa wanaume waafrika sababu pia mi ni mwafrika..... Then pia sababu hcho kitu kilipatwa kusemwa na hilo li jamaa!
 
God plz help us!Itachukua muda gani hadi sisi kujua kwamba mtu mweusi ni bora kuliko wote?Hatujajua kuwa mtu mweusi amekua threat kwa maendeleo ndo maana amekua anaandamwa kila kukicha?W Botha aliendeleza mbinu ya kumdhoofisha mtu mweusi kwa kutoa kauli zinazomfanya ajione hafai ili asijitambue na kuuona ubora wake,HEY BLACK PEOPLE,WAKE UP!
 
Mi nakubaliana na wewe hata mimi najivunia sana uafrika wangu ila kama yalivyo matatizo mengine tu katika jamii zetu.
Hili bado lipo, na inapelekea mademu wa kizungu kuamini anaweza kumpata kijana wa kiafrika mda wowote na hauwezi kumkatalia.
 
Back
Top Bottom