Search results

  1. B

    Miradi Mikubwa Kuendelea Kuwekezwa DSM

    Je, miradi mikubwa ya miundo mbinu kuendelea kuwekezwa Dsm ndiyo dhima ya mabaliko ndani ya CCM au ni kukosa mikakati na mipango mahususi kumkwamua maskini? Tunajua wazi asilimia zaidi ya 90 ya watanzania tunaishi mikoani tunanufaika nini na uwekezaji huu , kwa tufungishwe mkanda kwa raha za...
  2. B

    Kwa wana CCM prof. Safari na Salum Mwalimu hawana sifa kutuwakilisha EARL!!!

    Wabunge wa ccm ni watu gani na serikali yao wamethibisha ubashite wao na namna ambavyo ni wamekosa weledi wa kisiasa na kwamba kwao maslahi ya nchi hii si kitu muhimu hata kidogo!!! Hili ni funzo kwa wapiga kura , kwa walilolifanya wabunge wa ccm kutujima fursa ya kuwakilishwa na watu makini...
  3. B

    Wasanii wa bongo fleva msitishwe na mafanikio ya WCB

    Ninachoweza kusema ni kuwa:-mafanikio ya kishetani daima hayana heshima kwa mwanadamu !Kwa mwanamme wa kweli mafanikio ya kweli na ya haki ni yale yanayotokana na mipango na jitihada uku ukimwamini Mungu! Wapo wapi akina Michael jackson, Kanumba na freemason yao?
  4. B

    Tetesi: Katika hawamu zote za serikali haijatokea serikali ikashindwa kuajili madaktari!!!

    Serikali imefanya maamuzi ya kupeleka madaktari zaidi 500 waliomaliza masomo na internship lwakaajiliwe kenya kwa kuwa serikali haina uwezo kuajili kwa sasa na si kwa sababu hatuna maitaji!!! Moja ya changamoto kubwa ya vituo vya afya, zahanati& hospitali ni uhaba wa madaktari! vijijini hali...
  5. B

    Mrisho Mpoto haujui inamchukua mtu jitihada gani kufaulu mtihatini wa kidato cha nne!

    Mrisho Mpoto amewataka watanzania kutazama utendaji wa Makonda na si vyeti vyake pasipo kujua kwamba kufoji au kutumia vyeti vya kitaaluma vya mtu mwingine kujipatia kazi, cheo, sifa yoyote ile ni kosa kisheria!! Najua Mrisho Mpoto anachanganya mambo kwa sababu hajasoma hivyo haoni umuhimu wa...
  6. B

    Steve Nyerere anastaili tuzo ya certificate of first degree hypocrite!

    Hivi leo steve nyerere ameongea na wanahabari juu ya sauti iliyosambaa mitandaoni akizungumza na mama wema akijitetea namna alivyoangaika kumtetea wema Bungeni kwa kuzungumza na Nape, Mwigulu na Msukuma!! Maelezo aliyokili leo ni kwamba alifanya vile kumtuliza mama wema na kiukweli yeye akufika...
  7. B

    Je Ney wa Mitego yupo sahihi kuhusu wimbo mpya wa Madee?

    kwa kifupi, huvi karibu baada ya Madee kuachiwa wimbo mpya na video yake msanii Ney wa Mitego amajitokez kuiponda kazi hiyo kwamba haina kiwango!! Binafsi nimeaikiliza kuitazama video wimbo hupo wa PESA na kujieidhisha pasina shaka kwamba nyimbo iko pouwa , video na matukio vimeendena na ujumbe...
  8. B

    Tahadhari kwa wanaopeleka magari china garage Mbeya

    Nimepata uzoefu jinsi gani gani wachina wasivyowaaminifu na kukosa wakarimu!! wameniibia smart dvd-tv redio , tyre, sport rim , jerk, wheel spanner na Coil na NS wire mara tu nilipowaambia nimegairi kutengeneza gari yangu kwao! Niliwataarifu kuwa ninakuja kuchukua gari yangu next week ndipo...
  9. B

    Vijana wafia vyama badala ya nchi hoja ya gazeti la mwananchi isiyo na nashijo!

    kuna ombwe kubwa sana katika fani ya uandishi katika makala na maandiko mengine kwa baadhi ya magazeti! Katika historia ya binadamu tangu zama za kufikiri na kukua kwa fikra au age of enlightment hakuna hoja isiyo na mlengo au itikadi hata kama mtoa hoja binafsi atajitaidi kuonyesha yeye si wa...
  10. B

    Watanzania tubadili mtazamo kuhusu sherehe za X-mass na nwaka mpya!

    Nimekaa, kufuatilia na kutakafari kwa kina juu ya tabia ya watanzania ya kuwa na hamasa ya kusafiri kwa ajili ya masherehe ya x-mass na mwaka mpya kwa adhaa kubwa ya usafiri na risk ya ajari!! Binafsi ninaona kuwa desturi hizi ni ushamba na mazoea yaliyopitwa na wakati na yasiyo na manufaa...
  11. B

    Naitaji Speak za IST katika ubora na being nafuu!

    Rejea mada hapo juu. Naitaji Nozzle cut, But ,mudguad, car fender/ mudguad ya mbele na taa moja ya nyuma ya IST katika ubora na being nafuu! offer yangu ni Nozzle cut 1,300,000, mudguad mbele= 120000 mudguad nyuma = 100, 000 na taa nyuma 150,000, But= 300,000. Contact 0625719302
  12. B

    AT ni mkali hakuna mfano, promo and media biasness mislead us!

    Leo nimejaribu kutazama kazi kadhaa za AY ! Kwa kweli ni kiwango cha kimataifa! Promo na media ndo tatizo ! Huyu ndo ilibidi awe dangote! Wangapi wanamkubali AY,gonga like!
  13. B

    Tufamisheni Kwa waliohairisha kwenda Chuo kikuu kwa kukosa Mkopo HESLB

    Sina lengo la kutonesha vidonda najua jinsi gani mmevunjwa moyo na kukatishwa malengo yenu na maamuzi ya serikali ya HKT!! Lengo ni kuweka kumbukumbu JF!!! Karibuni tufamishane na tujadili!! Ruksa kuniponda!!
  14. B

    Wosia wa Sitta Kwa Jakaya Kikwete

    Saa chache kabla ya kuondoka kwenda ujerumani kutibiwa akiyekuwa Spika wa Bunge la Tisa, Samwel Sitta kuhusiana na mwenendo wa serikali ya Rais Magufuli. Taarifa za ndani ya familia ya Sitta, aliyefariki tarehe 7/11/2016, zinasema aliacha ujunve kwanba Rais John P Magufuli asiachwe kwenda...
  15. B

    Bombadier

    Hi, what happy to be Jf member!
Back
Top Bottom