Hivi leo steve nyerere ameongea na wanahabari juu ya sauti iliyosambaa mitandaoni akizungumza na mama wema akijitetea namna alivyoangaika kumtetea wema Bungeni kwa kuzungumza na Nape, Mwigulu na Msukuma!! Maelezo aliyokili leo ni kwamba alifanya vile kumtuliza mama wema na kiukweli yeye akufika Dodoma wala akuzungumza na Mawaziri tajwa hapo juu! Kitu ambacho ajasema ni juu ya yeye kujibiwa vibaya na Makonda na hatima ya urafiki wao ambapo kwenye audio amesema hatazungumza wala ataki urafiki na Makonda! Kwa hili la steve ni ushahidi tosha kuwa ndani ya CCM hakuna wanachama hatari sana, wachumia tumbo, wanafiki, waongo, wahuni na wachumia tumbo!! Leo ni nani atathubutu kumwamini Steve Nyerere? Shame upon Steve, little brain! Wito wangu kwa watanzania, tuwe makini na wasanii aina ya Steve Nyerere wasiyojua shida na mata tizo ya watanzania wanaotumia kampeni kurisha matumbo yao,,huku wakiwahadaa watanzania!