Tahadhari kwa wanaopeleka magari china garage Mbeya

bombadier

JF-Expert Member
Nov 4, 2016
438
305
Nimepata uzoefu jinsi gani gani wachina wasivyowaaminifu na kukosa wakarimu!! wameniibia smart dvd-tv redio , tyre, sport rim , jerk, wheel spanner na Coil na NS wire mara tu nilipowaambia nimegairi kutengeneza gari yangu kwao! Niliwataarifu kuwa ninakuja kuchukua gari yangu next week ndipo walipotumia muda huo kuniibia! WACHINA SI WAWEKEZAJI WAZURI KWA NCHI YETU, NI WENZI WAKUTUPWA!! TUPENDE VYA KWETU!!
 
Mara nyingine usiache vidaa kama Jerk, NS wire, Wheel Spanner, Mkono wa Jerk, n.k upelekapo gari garage na kuiacha kwa muda. Don't trust any.
 
Nimepata uzoefu jinsi gani gani wachina wasivyowaaminifu na kukosa wakarimu!! wameniibia smart dvd-tv redio , tyre, sport rim , jerk, wheel spanner na Coil na NS wire mara tu nilipowaambia nimegairi kutengeneza gari yangu kwao! Niliwataarifu kuwa ninakuja kuchukua gari yangu next week ndipo walipotumia muda huo kuniibia! WACHINA SI WAWEKEZAJI WAZURI KWA NCHI YETU, NI WENZI WAKUTUPWA!! TUPENDE VYA KWETU!!
Kama hamkuandikishiana hizo accessories huna wa kumlaumu.utakuwa umepigwa na waswahili wenzako waliogundua kuwa hukuandikishiana.Utaachaje gari garage bila ya hati ya makabidhiano?ulizioea garage za mwembeni?
 
Nimepata uzoefu jinsi gani gani wachina wasivyowaaminifu na kukosa wakarimu!! wameniibia smart dvd-tv redio , tyre, sport rim , jerk, wheel spanner na Coil na NS wire mara tu nilipowaambia nimegairi kutengeneza gari yangu kwao! Niliwataarifu kuwa ninakuja kuchukua gari yangu next week ndipo walipotumia muda huo kuniibia! WACHINA SI WAWEKEZAJI WAZURI KWA NCHI YETU, NI WENZI WAKUTUPWA!! TUPENDE VYA KWETU!!
Gereji nazoendaga Mbeya ni zile ambazo kuna watu nawaaminj na wao pia ni waaminifu, Gari yangu inapotengenezwa sharti na mimi niwepo au kama ni matengenezo madogo basi ntawaita mafundi wa hio gereji nayoiamini waje kunitengenezea nyumbani.
Binafsi Nakaa Mbeya na matengenezo karibu yote wananifanyia garage ya Mkendo pale soweto wana mafundi wazuri tu na waaminifu Kitu kingine ulichokosea kama ungekuwa umeghairi kutengeneza gari ni vyema siku hiyo hiyo ungeenda kuchukua gari lako, Gereji zipo kibiashara huwa hazipendi kutunza gari ambazo haziitaji matengenezo, hata ukipeleka simu au laptop kwa fundi ukaghairi kuitengeneza na kuichukua baada ya wiki kina uwezekano mkubwa mafundi wakawa wamefanya yai
 
Mkubwa umeacha wakuibie hivyo vitu au una njia nyingine umeipata
 
Karibu pia KIKI Garage hapohapo SOWETO!!
 
Nimepata uzoefu jinsi gani gani wachina wasivyowaaminifu na kukosa wakarimu!! wameniibia smart dvd-tv redio , tyre, sport rim , jerk, wheel spanner na Coil na NS wire mara tu nilipowaambia nimegairi kutengeneza gari yangu kwao! Niliwataarifu kuwa ninakuja kuchukua gari yangu next week ndipo walipotumia muda huo kuniibia! WACHINA SI WAWEKEZAJI WAZURI KWA NCHI YETU, NI WENZI WAKUTUPWA!! TUPENDE VYA KWETU!!
Bado kuna Vitu hujaviongea.Vizuri kwnye maelezo yako .
Kwann uliahirisha kutengeneza Gari Lako kwao. ?
Na wasiwasi ulishaanza Kutemgeneza coz umesema uliahirisha , that means Gari lilikua kwnye Mchakato wa kuyengenezwa , Kinachonisukuma Ulikua una deni na ulishindwa kulimudu .
 
Back
Top Bottom