Nimekaa, kufuatilia na kutakafari kwa kina juu ya tabia ya watanzania ya kuwa na hamasa ya kusafiri kwa ajili ya masherehe ya x-mass na mwaka mpya kwa adhaa kubwa ya usafiri na risk ya ajari!! Binafsi ninaona kuwa desturi hizi ni ushamba na mazoea yaliyopitwa na wakati na yasiyo na manufaa yoyote zaidi ya urafi,sifa ,ujinga, ufahari na kutostaraabika na yenye athari nyingi kwa jamii kuliko faida!