Je Ney wa Mitego yupo sahihi kuhusu wimbo mpya wa Madee?

bombadier

JF-Expert Member
Nov 4, 2016
438
305
kwa kifupi, huvi karibu baada ya Madee kuachiwa wimbo mpya na video yake msanii Ney wa Mitego amajitokez kuiponda kazi hiyo kwamba haina kiwango!! Binafsi nimeaikiliza kuitazama video wimbo hupo wa PESA na kujieidhisha pasina shaka kwamba nyimbo iko pouwa , video na matukio vimeendena na ujumbe w wimbo!! Wadau wezangu wa bongo fleva mnasemaje?
 
Yule Kijana wa home sio star, anatukana hata waliomzaa...
Nadhan huu mstari wa wimbo mpya wa Madee ndio umemfanya Ney atoke povu
 
kwa kifupi, huvi karibu baada ya Madee kuachiwa wimbo mpya na video yake msanii Ney wa Mitego amajitokez kuiponda kazi hiyo kwamba haina kiwango!! Binafsi nimeaikiliza kuitazama video wimbo hupo wa PESA na kujieidhisha pasina shaka kwamba nyimbo iko pouwa , video na matukio vimeendena na ujumbe w wimbo!! Wadau wezangu wa bongo fleva mnasemaje?
Kwa ulivyoandika nahisi nimewahi kukuona kwa mzee wa upako
 
Nadhani wanapondana.

siku moja fnl madee alipondea wimbo mpya wa ney nadhani na yeye ndo anarudisha fadhila
 
Mh Kama kungekuwa na vigezo na mashart kujiunga na Jf hakyamungu ulikuwa umeshakosa sifa ya kuwa memba.
 
Tuseme nini wakati hata hueleweki, Kikurya sio Kikurya, Kijita sio Kijita...

*
huvi karibu
*amajitokez
*Binafsi nimeaikiliza
*na kujieidhisha
*video na matukio vimeendena
*Wadau wezangu

Blaza, njoo usomee Upadri uwe unanena kwa Lugha ya Kiyunani.
Kuna maneno umeacha kama
*kuachiwa wimbo
*wimbo hupo wa pesa
Endelea kurekebisha lugha padre aka mzee kifimbo cheza.
 
Nadhani wanapondana.

siku moja fnl madee alipondea wimbo mpya wa ney nadhani na yeye ndo anarudisha fadhila
Aachane na Madee no nyingine atampoteza,Awaulize Chid Benzi,Afande Sele wameshapotea asijifafananishe na Madee sawa na mlima na kichuguu
 
Tuseme nini wakati hata hueleweki, Kikurya sio Kikurya, Kijita sio Kijita...

*
huvi karibu
*amajitokez
*Binafsi nimeaikiliza
*na kujieidhisha
*video na matukio vimeendena
*Wadau wezangu

Blaza, njoo usomee Upadri uwe unanena kwa Lugha ya Kiyunani.
 
Ney wa mitego boya,anajifanya mgumu hafu anajichubua km kina ommy dimpoz na madada diamond,rey
 
Back
Top Bottom