Miradi Mikubwa Kuendelea Kuwekezwa DSM

Miradi Mikubwa Kuendelea Kuwekezwa DSM

bombadier

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2016
Posts
438
Reaction score
305
Je, miradi mikubwa ya miundo mbinu kuendelea kuwekezwa Dsm ndiyo dhima ya mabaliko ndani ya CCM au ni kukosa mikakati na mipango mahususi kumkwamua maskini? Tunajua wazi asilimia zaidi ya 90 ya watanzania tunaishi mikoani tunanufaika nini na uwekezaji huu , kwa tufungishwe mkanda kwa raha za viongozi na wakazi wa Dsm? Ni lini majiji na mikoa mingine nayo yatapewa kipaumbele au tunasubiri mpaka Dsm iwe kama New York ndo tufuate? Je, CCM ikifika 2020 tuwape kura kwa sabubu ya kuwekeza Dsm ?
 
tulia wewe, hujui kero tunayoipata wanaume wa dar kuhusiana na usafiri
 
Emu acha siasa kwny vitu muhimu, Hujui kama dar ni mji muhimu na jiji la kibiashara...
 
Back
Top Bottom