Search results

  1. PrN-kazi

    EFD Kibaha ni changamoto

    Nimeenda kwenye Duka Moja pale Mailimoja Kibaha kwa ajili ya kununua zawadi za watoto, baada kuchagua vitu nilivyokuwa nahitaji nakufanya malipo nimeshangaa kuona naomba RISITI na kunyimwa kibaya zaidi muuzaji ameanza kunitolea maneno makali akidai Serikali inawapigia kelele wakati TRA...
  2. PrN-kazi

    Matumizi ya Barabara kutoka Round about Mlimani City hadi Ubungo Mataa

    Hivi kuna utaratibu mpya wa Matumizi ya Barabara tajwa.....!!!! Nimekuta Askari wa Usalama Barabarani pale Junction ya Mawasiliano wakikamata magari na kuwatoza faini wakidai kwamba wame-overspeed kwani driving Speed ya Barabara ile mwisho ni 50. - Jambo hili limenistua kidogo kwani kuanzia...
  3. PrN-kazi

    Statutory Protection of Customary Marriage in Tanzania

    Wasomi wenzangu: nataka niandike Legal Paper juu ya Mkanganyiko ninaouona kati ya Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971 na Sheria nyinginezo zinazoshughulikia maswala wa wanandoa hapa Tanzania. tukiachilia ndoa tulizozioea hapa Tanzania na zinazotambulika kwa mujibu sheria husika zipo pia Ndoa...
  4. PrN-kazi

    Wako wapi Wajumbe/Wabunge wa Bunge Maalumu la Katiba??

    Majadiliano yalipokuwa yakiendelea Mjengoni wakati wa kipindi cha Bunge Maalumu la Katiba; wajumbe wengi waliokuwa wakiinuka kuchangia, kauli yao ya kwanza ilikuwa nikwamba NIMETUMWA NA WANANCHI KUSEMA YAFUATAYO "......SERIKALI MBILI/SERIKALI TATU NDO MUHAFAKA...." kitu ambacho kilikuwa kinaibua...
  5. PrN-kazi

    Kulikoni Tume ya Usuluhishi na Uamuzi(CMA) na Ajira mpya?

    Kwa yeyote anayejua kinachoendelea kwenye Tume ya Usuluhishi na Uamuzi-CMA juu ya Ajira atusaidie kutujuza kinachoendelea. Kwa kifupi ni kwamba Tume imekua na upungufu wa Watumishi kwa muda mrefu kitu ambacho kimekua kikichangia Mashauri na kesi mbalimbali zinazopelekwa kwenye hiyo Tume...
  6. PrN-kazi

    Kwanini Watanzania wabebeshwe mzigo...

    ......Nimeona ka-kipande kadogo ka-kupitia ITV wakati wa Taarifa ya habari; Nape akinukuliwa akihoji eti ni ''KWANINI....WATANZANIA WABEBESHWE MZIGO WA KUJADILI RASIMU YA KATIBA WAKATI WANGE-CHAGULIWA WABUNGE WACHACHE ILI WAWEZE KUFANYA KAZI HIYO''. nia na madhumuni ya maneno haya sijaipata...
  7. PrN-kazi

    Mechi kati ya Yanga na Timu ya Mchangani ya Nigeria

    Yanga baada ya kufanya vibaya katika mechi za majaribio huko Kanda ya Ziwa, yaamua kujipima nguvu na timu isiyojulikana katika Ramani ya Soka kutoka Nigeria, kwa tetesi zilizopo ni kwamba ni timu ya Mchangani huko Nigeria. TFF wameistukia hiyo timu na kuamua kufatilia kwenye FA-Nigeria ambapo...
  8. PrN-kazi

    Maoni juu ya Ratiba ya Ligi Kuu England(EPL)

    Imekua kama desturi makocha wa Ligi Kuu England kulalamikia ubovu wa Ratiba pindi Ligi hiyo inapokaribia ukingoni; Ukiangalia sasa tangu taarifa za kuanza kwa Ligi na ratiba kutoka ni zaidi ya siku mbili sasa lakini hakuna Kocha au Shabiki wa timum ata mmoja aliyethubutu kuitolea maoni aidha...
  9. PrN-kazi

    Hii ya Amri Kiemba imekaaje?

    ....inasemekana Amri Kiemba amesaini Yanga, tayari kwa kutumikia timu hiyo msimu ujao. inakuaje Simba wanaachia wachezaji muhimu wote kuondoka ndani ya kikosi!!!!, Amri Kiemba ni mchezaji mwenye nidhamu ya hali ya juu sana na anaheshimu kazi yake kwa kiasi chochote ambacho alikua anaitaji...
  10. PrN-kazi

    huduma za Precision Air utata mtupu

    kutoka Dar es salaam International AirPort ...kaka yangu amepanda Ndege ya Precision Air saa 12:15 kuelekea Nairobi, wakiwa bado kwenye running track amenipigia simu na kunieleza kwamba ndani ya ndege kuna joto kiasi kwamba abiria wote wanatoka jasho na wengine wameanza kuvua mashati...
  11. PrN-kazi

    SIMBA vs KAGERA- (Taifa Stadium)

    Naona ngoma ni 1-0 dk ya 39 first half:Simba anaongoza mfungaji ni Sunzu.
  12. PrN-kazi

    Kihiyo wa CCM na plan B(UTAPELI)

    Aliye wahi kuwa mbunge wa Temeke kupitia tiketi ya CCM Mh. Ramadhan Ally Kihiyo na baadaye kuenguliwa katika nafasi kwa tuhuma za kuwa na vyeti feki; anatuhumiwa kwa kesi ya utapeli(wizi) Kihiyo alifikishwa polisi(kituo cha polisi Usalama-Changombe) ijumaa ya tarehe 14 Julai akidaiwa kutapeli...
  13. PrN-kazi

    Mwl. Agricola-Kahororo Sekondari

    kwa wote waliosoma Kahororo Sekondari nadhani mtakua mnamkumbuka Mwl. Agricola-mtaalamu wa somo la Phyiscs, ni kwamba mwalimu wetu huyo anaumwa na yuko hapa Dar es salaam akipatiwa matibabu. Kwa kifupi nimesikitishwa na afya ya mwalimu kuzolota: na ni vizuri kwa yeyote anayemfahamu especially...
  14. PrN-kazi

    Msaada jamani-how to apply for PSRS employment opportunities

    Kuna mdau ameniuliza swali akiamini nitampa majibu ya haraka lkn sikufanya hivyo kwani nimeangalia umuhimu wa ishu yenyewe na nikahisi kuwa inawezekana kuna mtego ambao unaitaji mteguaji. Sasa ni hivi kwenye zile nafasi za kazi zaidi 2500 zilizotolewa na Sekretarieti ya Ajira majuzi, kuna...
  15. PrN-kazi

    Madereva wa Daladala Jijini Mwanza wagoma.

    Kutokana na ongezeko la bei ya maegesho ya magari hususani daladala madereva wa daladala wameamua kuweka magari yao kando. Watu wanaangaikia wanatembea kwa mguu masafa marefu: Je, Tutafika???? Source: Star TV 1215hrs.
  16. PrN-kazi

    Dr. Mponda na Nkya wanasubiri nini????

    Waziri wa Afya(Dr, Mponda) na Naibu wake(Nkya) ebu kaa pembeni kwani nyie ndo mmeonekana kuwa kikwazo kwa maDaktari. kuendelea kung'ang'ania nafasi hizo ni adhabu kwa wananchi: ni dhahili sasa vifo vya raia vitakavyotokea kutokana na mgomo wa Ma-Daktari nyie ndo wa kulaumiwa.
  17. PrN-kazi

    Bajaj-tairi 3 inauzwa

    bajaji tairi tatu inauzwa, bei nafuu sana, iko ktk hali nzuri, inatembea ni two stroke. mwenye kuitaji ani PM.
  18. PrN-kazi

    Toyota GR-Mark II inaitajika haraka

    naitaji gari aina ya Toyota GR-Mark II kwa shughuli zangu za kawaida, yeyote mwenye nayo na yuko tayari kuuza ani PM niko tayari kuinunua kwa bei isiyo zidi Tsh. milioni 3 ikawa ina hali nzuri-maana kwamba iwe inatembea.
  19. PrN-kazi

    Mchakato wa Katiba-bungeni Zitto na wenzake watakuwepo?

    Hali ya wabunge wa CHADEMA akina MBOWE, TUNDU LISSU, LEMA na ZITTO ziko je hadi sasa??? kuna uwezekano wa wao kuwepo Bungeni kwa wiki inayoanza tar 14/11/2011? Ni wiki muhimu sana kwani mstakabali wa katiba mpya ndo utajulikana. nina wasiwasi endapo wao wakikosa kwani hata wapiga wao watakosa...
  20. PrN-kazi

    Nguzo ya umeme ni mali ya Tanesco au Mteja anayeunganishiwa umeme?

    Tanesco wakitaka kumuunganishia mteja umeme, wanamtaka alipie nguzo kwanza kwa misingi ya kuinunua: na akisha ilipia inakuwa si mali yake tena bali ni mali ya Tanesco, dhana hii iko-je!! Swali limeulizwa Bungeni na Mh Regia (CHADEMA) na Mh. Ngereja(Waziri) kajibu kwamba Tanesco ndiyo...
Back
Top Bottom