PrN-kazi
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 2,900
- 445
Imekua kama desturi makocha wa Ligi Kuu England kulalamikia ubovu wa Ratiba pindi Ligi hiyo inapokaribia ukingoni;
Ukiangalia sasa tangu taarifa za kuanza kwa Ligi na ratiba kutoka ni zaidi ya siku mbili sasa lakini hakuna Kocha au Shabiki wa timum ata mmoja aliyethubutu kuitolea maoni aidha kwa kuikosoa ama kwa kuisifia.
Lakini utakuja kushangaa, ikifikia ukingoni mara baada ya kila timu kuona ilichokwisha vuna watu wanajitokeza hasa Makocha kuanza kulalama kwamba Timu zao zinaonewa katika upangaji wa ratiba kuliko zingine na pdo sababu ya kuzifanya zishindwe kunusa ata chembe ya Ubingwa wa hiyo Ligi.
Angalia Ligi inayoenda kuanza hiyo Agositi, ni nani ameonewa na ninani amependelewa kwa ujumla katika hiyo Ratiba!!!!, binafsi naona Kila timu ina nafasi sawa ya kupata Ubingwa; kwani kila Timu italazimika kucheza mechi moja Nyumbani na mechi nyingine Ugenini. Hivyo sioni ni kwanini Makocha ujitokeza mwishoni na kuanza kulalama wakati mwanzo wa Ligi wanakua wanaonyesha kulizika na wanachoenda kukifanya.