Toyota GR-Mark II inaitajika haraka

PrN-kazi

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
2,900
444
naitaji gari aina ya Toyota GR-Mark II kwa shughuli zangu za kawaida, yeyote mwenye nayo na yuko tayari kuuza ani PM niko tayari kuinunua kwa bei isiyo zidi Tsh. milioni 3 ikawa ina hali nzuri-maana kwamba iwe inatembea.
 
Upate bahati sana kuipata 4C, na iwe haijachoka maana gari hizo ni za mwaka 1990 - 1994 vinginevyo uwe fundi tena Level III (Grade A).

Dah! ni kweli kiongozi nimeisha angaika sana kuipata, lkn kupitia JF nina imani nitafanikiwa, ninaye fundi mtaalamu ambaye anaweza kuihakiki endapo ikipatikana.
 
usijali yangu naiamini na hasa kwenye engine njo ukague vyovyote uwezavyo we upo wapi?kama upo dar ingekua rahisi ukague ya kwangu 4s ya 1990 very crean ndani,ila shock up ni za kubadili
 
mkuu niko mkoa kikazi, lkn nitakutafuta kwa vyovyote vile muda si mrefu.
 
1998 GR - 4S in desirable condition (nimeshindwa ku-attch photo bt naweza kukutumia). Gari ipo dsm.

Gharama zilizopo kwa mnunuzi:
1) Road lisence for two years
2) AC system haiko poa (Inavujisha-needs to be re-checked)

If interested;you can PM me.
 
naitaji gari aina ya Toyota GR-Mark II kwa shughuli zangu za kawaida, yeyote mwenye nayo na yuko tayari kuuza ani PM niko tayari kuinunua kwa bei isiyo zidi Tsh. milioni 3 ikawa ina hali nzuri-maana kwamba iwe inatembea.

umeshapata hiyo gari au bado unahitaji?
 
umeshapata hiyo gari au bado unahitaji?
Nilikuwa naletwa zote zilikuwa magumashi: maneno kibao na madalali nao wanaleta zakuleta, naona ni bora nizame show-room walau nitafute chombo kinachoeleweka.
 
1998 GR - 4S in desirable condition (nimeshindwa ku-attch photo bt naweza kukutumia). Gari ipo dsm.

Gharama zilizopo kwa mnunuzi:
1) Road lisence for two years
2) AC system haiko poa (Inavujisha-needs to be re-checked)

If interested;you can PM me.

Poa nitakucheki: nilisha anza kukata tamaa.
 
Back
Top Bottom