Search results

  1. Mr Death

    Familia ya Mkenya aliyekwama Guantanamo yataka Rais Ruto aingilie kati

    JAMAA za Mkenya mmoja anayezuiliwa katika gereza la Amerika la Guantanamo Bay nchini Cuba, imeomba serikali iwasaidie kumrejesha nyumbani mpendwa wao baada ya wakili Bw Miguna Miguna kurudi nchini. Amerika haikumpata Bw Malik Mohammed Abdul na hatia na ikamwachilia huru mnamo Januari, lakini...
  2. Mr Death

    Benki ya Uganda yazindua akaunti ya kwanza inayofuata sheria za Kiislamu

    Benki ya Finance Trust ya Uganda imezindua akaunti ya kwanza kabisa inayofuata sheria za Kiislamu katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki. Viongozi na shakhsia mbalimbali wa Kiislamu walihudhuria hafla ya uzinduzi wa akaunti hiyo inayoitwa 'Halal' jana Alkhamisi katika mji mkuu Kampala. Julai...
  3. Mr Death

    Kweli mapenzi yana Run Dunia

    Ila kuku bhana, akikimbizwa na jogoo, mita mbili tu kachoka , mkimbize wewe sasa mtafanya marathon ya dunia. Kwakweli mapenzi yana run dunia [emoji38][emoji38] Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Mr Death

    Huu ndio Ulimi wa chui

    [emoji104] Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Mr Death

    Ukitoa miaka 20 katika umri wako utakuwa na miaka mingapi!?

    Remove 20 years from your age, How old are you? [emoji1][emoji848] Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Mr Death

    Nimetengeneza android app kwaajili ya Mazoezi

    Salaam ndugu zangu nimetengeneza app nyingine kwaajili ya workout ipo playstore inaitwa MAZOEZINI app hiyo itakusaidia kujua Jinsi ya kufanya mazoezi kwaajili ya mwili wako wote kwa ujumla. Pia app hiyo inakupa chaguo kuchagua kama unahitaji mazoezi Rahisi, Yakawaida au magumu, Pia inakupauwezo...
  7. Mr Death

    Nimetengeneza App ya hadithi za watoto naomba maoni yenu

    Saalam wakuu nimetengeneza app ya android kwaajili ya simulizi za watoto app hii inauwezo wa kutumika offline pia inamuwezesha mtoto kusikiliza au kusoma ikiwa anaweza kwasasa nimeanza na hadithi moja ila nitakuwa naongeza hadithi zaidi kila nitakapokuwa nai-update nombeni maoni yenu app...
  8. Mr Death

    Software makini kwa kurekodi screen ya PC

    Habari wanajamii wenzangu naombeni msaada kama kichwa kinavyosema hapo juu software itakayoniwezesha kurekodi screen ya mashine yangu.
  9. Mr Death

    Antivirus : SmadAV Pro 10.9 2016 Free Download

    Kichwa kinajieleza chakufanya bonyeza hapa DOWNLOAD
Back
Top Bottom