Hiyo mtu akiwa tu connected kweny internet inarudi kua trial
Hapana mkuu mimi natumia adobe illustrator na hii antivirus pro na sio Trial na nimeunganisha net ila nyingine huwa zinagoma kama adobe premiere imegoma bt hio niliyoiweka ipo fresh hata ukiunganisha na netHiyo mtu akiwa tu connected kweny internet inarudi kua trial
mkuu hivi hizi free anti virus zinapigaga kazi kweli?
Free Antivirus zinafanya kazi vyema, kinachotakiwa ni udates za mara kwa mara, kuna
nashukuru mkuu, mi natumia window defender, ngoja nifanye utaratibu wa smadavFree Antivirus zinafanya kazi vyema, kinachotakiwa ni udates za mara kwa mara, kuna
- Windows Defender (kwa watumiaji wa Win 8/8.1/10 &
- Microsoft Security Essentials
Hivyo ukiwa na antivirus tajwa hapo juu, then ukaweka na SMADAV au USB DISC SECURITY utakuwa salama.
sioni sehemu nayoweza ku download mkuu, maana yanakuja ma link tofautikivipi
nimeweza nashukuru mkuukivipi