Nimetengeneza android app kwaajili ya Mazoezi

Mr Death

Senior Member
May 4, 2016
174
149
Salaam ndugu zangu nimetengeneza app nyingine kwaajili ya workout ipo playstore inaitwa MAZOEZINI app hiyo itakusaidia kujua Jinsi ya kufanya mazoezi kwaajili ya mwili wako wote kwa ujumla. Pia app hiyo inakupa chaguo kuchagua kama unahitaji mazoezi Rahisi, Yakawaida au magumu, Pia inakupauwezo ya kukokotoa IBM yako ili kuendana sawa na mazoezi utakayohitaji kufanya kubwa zaidi ni kuwa app hiyo inakupatia maelekezo ya mazoezi yote kwa lugha ya kiswahili.


Ili kuiweka katika simu yako ingia playstore kisha Search Mazoezini
Naombeni sapoti yenu Japo kwa maoni tu kuhusu App hiyo. Ahsanteni
Screenshot_20180824-222522.jpg
Screenshot_20180824-222539.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom