Nimetengeneza App ya hadithi za watoto naomba maoni yenu

Mr Death

Senior Member
May 4, 2016
174
149
jnZZD7t4dPFhZHjse_BXES-A524bLIKSGfiRJQYIyqU4UrVEDL8iKtXtiyGAwEs3hK0=w720-h310-rw
Saalam wakuu nimetengeneza app ya android kwaajili ya simulizi za watoto app hii inauwezo wa kutumika offline pia inamuwezesha mtoto kusikiliza au kusoma ikiwa anaweza kwasasa nimeanza na hadithi moja ila nitakuwa naongeza hadithi zaidi kila nitakapokuwa nai-update nombeni maoni yenu app inapatikana playstore kwa Jina la Hadithi za watoto.

ahsanteni
 
Mi nadhani changamoto kubwa apo ni jinsi gani utamshawishi mtoto akae kusoma hadithi wakati anaweza akaangalia katuni? Maana katuni pia ni hadithi..
 
Mi nadhani changamoto kubwa apo ni jinsi gani utamshawishi mtoto akae kusoma hadithi wakati anaweza akaangalia katuni? Maana katuni pia ni hadithi..
sio kwaajili ya kusoma hadithi ila ni yakusikiliza hayo maandishi nime nimeonelea ili kama mtoto anapenda kujifunza asome mapoja na msimuliaji
 
Back
Top Bottom