Search results

  1. jiamini360

    Serikali yatumia Sh 900 milioni kudhibiti kipindupindu

    Serikali imesema imetumia zaidi ya Sh 900 milioni kwa ajili ya kupambana na ugonjwa wa kipindupindu nchi nzima kwani katika kipindi cha miezi tisa watanzania 21,634 waliambukizwa na ugonjwa huo na wananchi 338 wamefariki.
  2. jiamini360

    Mahaka Kuu yakataa kutoa amri ya kusitisha maandamano

    Mzozo kuhusu tume inayosimamia uchaguzi nchini Kenya IEBC umeendelea kutokota. Waandamanaji katika miji mbalimbali wameendeleza maandamano yao ya kila Jumatatu kushinikiza tume hiyo ivunjwe na iundwe upya, kama upinzani unavyosisitiza. Mapema Jumatatu mahakama kuu ya Nairobi ilikataa kupiga...
  3. jiamini360

    What An Impressive Young Politician

    Ndlozi Mbuyiseni
  4. jiamini360

    Wapinzani Bungeni Frika kusini, Wakizichapa na walinzi

    Kutoka Bungeni Afrika Kusini, Wabunge wa chama cha EFF wakifukuzwa Bungeni mnano mwezi Meyi 2016.
  5. jiamini360

    Mapokezi ya Baba Wa Taifa Marekani 1963

    J. F. Kennedy was a very close friend of Nyerere. They have been in touch for a little while before making this State Visit in the summer of 1963. Tanganyika was changing and so was US. The two men are no longer with us but the friendship between our two people still remains stronger than ever.
  6. jiamini360

    Mapokezi Ya Baba Wa Taifa Wingereza 1975

    Pull back from Tanzain Coat of Arms to platform of Victoria Station as train pulls in. MS The Queen & Duke of Edinburgh. President Nyerere from train shakes hands with Queen and Duke, then Prince Charles and Princess Anne, the Duchess of Gloucester, the Duchess of Kent. Queen and President out...
  7. jiamini360

    VIDEO: Jinsi Fedha za MCC zilivyosaidia Tanzania

    Fedha za MCC zimewekeza kwenye kushuhulikia mtandao duni wa usafiri kwa kuboresha barabara ili kuongeza kuongeza biashara na kusaidia kunganisha jamii na masoko, shule na vituo vya afya, kuboresha ubora wa upatikanaji wa umeme na kupanua huduma za umemena kungeza upatikanaji maji safi na salama...
  8. jiamini360

    Jinsi Afrika inavyopoteza mabilioni

    • $46.3 billion in profits made by multinational companies • $21 billion in debt payments, often following irresponsible loans • $35.3 billion in illicit financial flows facilitated by the global network of tax havens • $23.4 billion in foreign currency reserves given as loans to other...
  9. jiamini360

    Can Tanzania get its MCC suspension lifted?

    Tanzania’s government must outline how it will address concerns about democratic inclusivity if it wants to reopen a partnership with the Millennium Challenge Corp., MCC officials told Devex, after the U.S. development agency decided on Monday to suspend a $472 million compact with the country...
  10. jiamini360

    Jeuri ya Serikali ya Tanzania

    Mpaka sasa China imedhamini miradi takribani 62 Tanzania kupitia soft loans na aid hii pamaoja na £1.3b ya pipeline ya gesi Dar-Mtwara. Na mpaka sasa Tanzania ni Nchi ya pili kwa kupata mikopo na misaada kutoka china ambayo si chini ya $5b. Pesa za MCC si kitu kwa seriakali ya Tanzania. Kwa...
  11. jiamini360

    (Legacy) Urithi Kutoka Kwa Viongozi Wetu

    Sidhani kama viongozi wetu wanaangaliaga miaka 50-100-200 mbele. Huwa wanaangalia hapa tuuuuu. Watu kama wakina Abraham Lincorn (1809-1865), Winston Churchill(1874-1965), George Washington (kuzaliwa 1732-1799 kufariki)n.k ni viongozi wanaokumbukwa mpaka leo kwa mengi, wamejitengenezea legacy...
  12. jiamini360

    Chama Kinachoongea lugha ya vijana

    Kwanini Vijana wa Tanzania tusianzishe chama cha siasa kitakachoongozwa na vijana tu na kuachana na hizi bongo movie za hawa CCM, CUF, CHADEMA, NCCR n.k Viongozi wa chama umri miaka 18-30 mfano Mgombea wetu Urais kijana anaandaliwa labda mtu mwenye umri wa miaka 35, anaandaliwa kwa miaka kumi...
  13. jiamini360

    Je˛askari polisi wanaweza kufanya chochote watakacho?

    Hapana hata kidogo. Wanaweza kufanya kile tu kinachokubalika kisheria. Kwa kweli wanatawaliwa na kanuni nyingi na kali. Hii ni pamoja na kanuni zao wenyewe, taratibu zilizowekwa kwa ajili ya uhalifu (criminal codes), amri zinazotolewa na mahakama ya rufaa, na miongozo kutoka Tume ya Haki za...
  14. jiamini360

    Je ? Unajua Vigezo Vinavyotumika Kuvunja Ndoa Mahakamani?

    1. Ugomvi 2.Mwanamume kukosa mbegu za kiume 3.Maradhi kama UKIMWI . 4.Mimba ya mwanaume mwingine. 5.Mwanaume kuasi kwa nyumba ndogo 6. Kipigo cha mara kwa mara
  15. jiamini360

    Dodoma: TANESCO has incurred a loss of more than Sh72 million

    The Tanzania National Electricity Supply Company (Tanesco) in Dodoma region has incurred a loss of more than Sh72 million due to power theft and vandalism. The company’s Regional Information Officer, Innocent Lupenza, told The Citizen yesterday that a huge percentage of the damage was a result...
  16. jiamini360

    Ukuwaji Wa Uchumi Na Utawala ‘Mbovu’ Afrika

    Afrika yasonga mbele. Hilo halina shaka. Tafiti kadhaa za mashirika makubwa ya kimataifa zinaonesha kuwa Afrika inasogea kwa kasi kwenye ukuwaji wa kiuchumi na vijana wake wanazidi kugundua fursa za kujituma na kutumia nishati na akili zao kuleta mabadiliko kwa jamii na bara lao. Lakini kuna...
  17. jiamini360

    Uongozi na utawala bora

    Uongozi ni mamlaka au karama ya kuonyesha njia kwa vitendo. Kipimo cha uongozi ni jinsi gani kiongozi anaweza kuleta ushawishi kwa watu na kufikia maendeleo yaliyotarajiwa. Kiongozi bora hana muda wa kulalamika bali anatafuta ufumbuzi wa matatizo ya watu, yaani wananchi au watu walio chini yake...
  18. jiamini360

    Baadhi Ya Mambo Unayohitaji Kufahamu Kuhusu Polisi

    Je˛uwiano wa askari polisi na wananchi una kidhi mahitaji? Idadi ya polisi waliopo nchini haina uwiano na wingi wa watu na mahitaji halisi. Hivi sasa nchini Tanzania askari polisi mmoja anahudumia wastani wa wanachi 1,300 tofauti na viwango vya Umoja wa Mataifa ambapo askari polisi mmoja...
  19. jiamini360

    Majukumu na kazi za Meya/ Mwenyekiti wa Halmashauri/ Diwani/ Wenyeviti wa Vijiji, mitaa na Vitongoji

    UTANGULIZI 1.1 Kwa mujibu wa ibara ya 145 na 146 Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Serikali za Mitaa ni vyombo vya haki na vyenye mamlaka ya kushiriki na kushirikisha wananchi katika kupanga na kutekeleza shughuli za maendeleo na utoaji wa huduma katika sehemu zao. Serikali za Mitaa...
Back
Top Bottom