Serikali: Sheria ya mtandao imepunguza picha za ngono

hakuna anayependa kufungwa bure,ila pia sheria iyoiyo imetumika mahala pengine isivyo,hasa pale inapotumika kisiasa
 
wanajitekenya na kucheka wenyewe, nyaraka za siri ni zipi ambazo watu wakitaka wanazikosa? wamesahau speech ya Lema kuhusu Kitwanga?? Hahahahahaha Vilaza
 
Kiongozi, kwa hiyo wewe unapinga sheria za mitandao zisifanye kazi? Kuwa mpinzani sio kuwa against na kila liwekwalo mbele yako.
 
Hahahaha Mpwa hii ina mapungufu mengi mno... halafu haikuanzishwa kwa good will.
 
Ingepunguza ngono ndiyo ningesema hiyo sheria ina manufaa lakini badala yake ngono zembe ndiyo imeongezeka sana
 
Back
Top Bottom