jiamini360
Member
- Jan 26, 2016
- 35
- 19
Serikali imesema imetumia zaidi ya Sh 900 milioni kwa ajili ya kupambana na ugonjwa wa kipindupindu nchi nzima kwani katika kipindi cha miezi tisa watanzania 21,634 waliambukizwa na ugonjwa huo na wananchi 338 wamefariki.