Je ? Unajua Vigezo Vinavyotumika Kuvunja Ndoa Mahakamani?

jiamini360

Member
Jan 26, 2016
35
19
1. Ugomvi

2.Mwanamume kukosa mbegu za kiume

3.Maradhi kama UKIMWI .

4.Mimba ya mwanaume mwingine.

5.Mwanaume kuasi kwa nyumba ndogo

6. Kipigo cha mara kwa mara
 
1. ugoni

2.mwanamume kukosa mbegu za kiume

3.maradhi kama UKIMWI .

4.Mimba ya mwanaume mwingine.

5.mwanaume kuasi kwa nyumba ndogo

6.kipigo cha mara kwa mara
Haya no 1, 2 na 4 ni sahihi na ndo vigezo na sababu 1wapo zaweza pelekea mahakama kuridhia kuvunjwa kwa ndoa.
Mengine hayo ni minor.
 
We me au ke?unapoomba ushaur wa kuacha au kuachika pia omba ushauri wa kurudishia watu gharama zao maana pindi mnataka kufunga ndio kila MTU umjuae ulimpa kadi ya mchango sijui ulijua ndoa ni furaha pekee haina changamoto!ebu kuwa mvumilivu tafutaUfumbuzi mwingine na sio kuachana,
 
Duuuuh!! Yaani mtu avumilie kipigo cha kila siku kisa wewe ulitoa mchango wa sherehe??
 
Back
Top Bottom