VIDEO: Jinsi Fedha za MCC zilivyosaidia Tanzania

jiamini360

Member
Jan 26, 2016
35
19
Fedha za MCC zimewekeza kwenye kushuhulikia mtandao duni wa usafiri kwa kuboresha barabara ili kuongeza kuongeza biashara na kusaidia kunganisha jamii na masoko, shule na vituo vya afya, kuboresha ubora wa upatikanaji wa umeme na kupanua huduma za umemena kungeza upatikanaji maji safi na salama kwa matumizi ya ndani na biashara.

JINSI FEDHA ZILIVYOFANYA KAZI TANZANIA BARA NA TANZANIA VISIWANI

Uamuzi juu ya Tanzania

Nimekutana na maoni haya sehemu. Yamenifurahisha sana;
========

Ndugu waziri na serikali nzima ya awamu ya tano. Wananchi tuna furaha kwa utendaji wenu katika awamu hii ya tano. lakini mimi nina maoni yangu kama mtanzania wa kawaida.

Marekani na baadhi ya nchi barani ulaya wamegoma kuendelea kutoa misaada kwetu. Tumekuwa taifa tajiri tusiojitambua kwa kusubiri misaada. Kama mtanzania nasema inatosha. Mtu chake kama wao na pesa zao sisi na madini yetu na rasilimali chungu nzima. Umefika wakati na sisi tuuze mali zetu kwa kuringa.

Wapo wachimbaji wa kigeni na wa ndani. Kikubwa kufunga mipaka ya kuuza madini nje ya nchi. Lijengwe soko la madini nchini kwetu la kimataifa. Madini yanayochimbwa yauzwe hapa hao wateja wananunua huko ulaya waje hapa kununulia. Ndo waondoke nayo. Waje kulipa kodi hapa wapange mahotel yetu na pia itakuwa njia rahisi ya kuongeza vipato kwa wachimbaji wadogo kunufaika kwa kuwa soko kuu litakuwa hapa tofauti na hari iliyopo sasa utoroshwaji umekuwa Mkubwa na tunaweza kuwa mfano kwa nchi nyingi za kiafrika kuona soko kubwa liko hapa. Mtu chake kama wao walivyo tunyima pesa za MCC. Hatutakuwa tegemezi tena.

- Meshack
Hivi unajua unaweza kufa kwa kukosa hela ya matibabu kwa sababu lundo la mazao yako yamekosa mnunuzi? Ni kweli tz tuna rasilimali za kutosha, lakini hatuna utaalamu wa kuzivuna na wanunuzi ni hao hao nchi tajiri. Watalii wa mbuga zetu ni hao toka nchi tajiri. Hivyo tunapoamua kuwatunishia misuli tuwe tumejiuliza na kujionya vya kutosha. Mfano Irani walileta jeuri wakijikuta wamebaki na mafuta yao shimoni mpaka pale walipolegeza kamba kuhusu nyuklia.
 
Nimekutana na maoni haya sehemu. Yamenifurahisha sana;
========

Ndugu waziri na serikali nzima ya awamu ya tano. Wananchi tuna furaha kwa utendaji wenu katika awamu hii ya tano. lakini mimi nina maoni yangu kama mtanzania wa kawaida.

Marekani na baadhi ya nchi barani ulaya wamegoma kuendelea kutoa misaada kwetu. Tumekuwa taifa tajiri tusiojitambua kwa kusubiri misaada. Kama mtanzania nasema inatosha. Mtu chake kama wao na pesa zao sisi na madini yetu na rasilimali chungu nzima. Umefika wakati na sisi tuuze mali zetu kwa kuringa.

Wapo wachimbaji wa kigeni na wa ndani. Kikubwa kufunga mipaka ya kuuza madini nje ya nchi. Lijengwe soko la madini nchini kwetu la kimataifa. Madini yanayochimbwa yauzwe hapa hao wateja wananunua huko ulaya waje hapa kununulia. Ndo waondoke nayo. Waje kulipa kodi hapa wapange mahotel yetu na pia itakuwa njia rahisi ya kuongeza vipato kwa wachimbaji wadogo kunufaika kwa kuwa soko kuu litakuwa hapa tofauti na hari iliyopo sasa utoroshwaji umekuwa Mkubwa na tunaweza kuwa mfano kwa nchi nyingi za kiafrika kuona soko kubwa liko hapa. Mtu chake kama wao walivyo tunyima pesa za MCC. Hatutakuwa tegemezi tena.

- Meshack
Mkuu jitambue tz tulikuwa walimaji wakubwa wa katani na mashamba makubwa ya mkonge tulipo geuka kuwa wa jamaa na mwenyewe macho hambiwi tazama mashamba ya mkonge yalibaki kuwa malisho ya mgombe Uchumi ukaanguka kama embe mkuu wazungu mwisho muulize Mugabe wanampindua kama samaki ujanja wrote umekwisha
 
Back
Top Bottom