jiamini360
Member
- Jan 26, 2016
- 35
- 19
Sidhani kama viongozi wetu wanaangaliaga miaka 50-100-200 mbele. Huwa wanaangalia hapa tuuuuu.
Watu kama wakina Abraham Lincorn (1809-1865), Winston Churchill(1874-1965), George Washington (kuzaliwa 1732-1799 kufariki)n.k ni viongozi wanaokumbukwa mpaka leo kwa mengi, wamejitengenezea legacy.
Inchini kwetu hapa hakuna (legacy) inayoeleweka zaidi ya hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Ndio maana mpaka leo hii tunajivunia urithi aliotuachi kama hotuba zake, muungano, uhuru n.k.
Mwanachi Je unadhani viongozi wengine ni urithi gani walioliachia taifa lao kipenzi kuanzia Wakuu wa Jeshi/Polisi, Mabalozi, Wabunge, Mawaziri, Marais wastaafu.n.k