Search results

  1. BabaPrince

    Msaada Simu inaji reboot

    Wakuu naombeni msaada. Simu yangu ni aina ya Aquos Zero 801SH. Mwanzoni sikujua tatizo linatokana na nini ila nilivyofanya uchunguzi binafsi nikagundua kuwa kila nikiingia telegram tu simu inajirestart, nimejaribu kure install na kuinstall app mpya ila shida iko palepale. Apps zingine ziko poa...
  2. BabaPrince

    Msaada kwa wataalamu wa simu

    Naombeni msaada, Nina simu aina ya AQUOS zero 801SH, nadhani Kuna settings nilifanya bila kujua, Sasa hivi nikiwasha data simu inakuwa inajirestart mara Kwa mara, mpaka inaboa. Naomba mwenye ujuzi anisaidie. Pia nakumbuka niliingia kwenye build namba kama developer. Pia naona Kuna kialama...
  3. BabaPrince

    Series Kali

    Wana JF nawasalimu. Naomba mwenye mapendekezo ya series Kali za kuangalia Netflix anijuze tuenjoy wote. Kumbuka NETFLIX tu kama ipo
  4. BabaPrince

    Ninatafuta rafiki wa kike Dodoma. Nimekuwa mpweke sana

    Mimi ni kijana wa makamo, nimehamishiwa Dodoma kikazi, sasa nimejikuta nipo huku camp nje kabisa ya mji, nimekuwa mpweke sana maana huku tupo midume mitupu mpaka, Na ninavyojiona si muda mrefu nitaanza kuchekacheka mwenyewe hovyo maana nimekosa huduma kwa muda mrefu(jocking) naomba mdada...
  5. BabaPrince

    Nina tatizo la usafiri toka Moshi kwenda Dodoma

    Nawasalimu wana jamii wenzangu. Nina tatizo la usafiri toka Moshi kwenda Dodoma. Kwa yeyote mwenye connection ya either Lori au gari yeyote ya kusafirisha mizigo ya nyumbani kama sofa, fridge vitanda nk. tafadhali nijulishe. Au ushauri wa njia bora mbadala ya kuhamisha mizigo pia nakaribisha...
  6. BabaPrince

    Nashindwa kuinstall App. Msaada.

    Nilitaka kuinstall App mpya kwenye simu yangu ila kila nikijaribu inaniandikia "insufficient storage" nikajaribu kufuta App moja nikajaribu kuinstall tena ikagoma. Nikafuta nyingine bado ikagoma. Nikafuta App zingine mbili bado inaandika insufficient storage! Ok nikajaribu basi nirudishe zile...
  7. BabaPrince

    Hizi alama zinaitwaje?

    Kuna alama flani hivi zipo sehemu mbalimbali, ila mfano mzuri ni katika vitambulisho vya kura. Ni ile alama nyeusi ina viboksi na mikunjo mingimingi, nasikia kuna simu zi a uwezo wa kusoma alama hizo. Nadhani hata yangu pia ina uwezo huo pia ila tatizo sijui kutumia. Kuna sdhemu nikigusa katika...
  8. BabaPrince

    Kifua kubana. Msaada

    Habari zenu wan jf. Nina mtoto wa kiume umri miezi tisa sasa, amezaliwa hana tatizo lolote la kifua ila leo nimeshangaa kifua kimembana usiku mida ya saa tano hivi , nimeshindwa nimsaidieje maana sina uzoefu na matatizo ya kifua kwakuwa hajawahi kuwa na tatizo hilo kabla. Kikimbana anaonekana...
  9. BabaPrince

    Mgeni nipokeeni

    Naitwa Raymond. Ni mgeni kiasi naomba ushirikiano wenu wanajamvi
Back
Top Bottom