Msaada kwa wataalamu wa simu

BabaPrince

Senior Member
Jan 10, 2016
125
45
Naombeni msaada, Nina simu aina ya AQUOS zero 801SH, nadhani Kuna settings nilifanya bila kujua, Sasa hivi nikiwasha data simu inakuwa inajirestart mara Kwa mara, mpaka inaboa. Naomba mwenye ujuzi anisaidie. Pia nakumbuka niliingia kwenye build namba kama developer. Pia naona Kuna kialama kimetokea kwenye screen sikielewi!
 
hako ka alama kanakotokea kwenye screen ulitakiwa ukaletee screenshot tuone umeclick wap huko kwenye developer
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom