Msaada Simu inaji reboot

BabaPrince

Senior Member
Jan 10, 2016
125
45
Wakuu naombeni msaada.

Simu yangu ni aina ya Aquos Zero 801SH. Mwanzoni sikujua tatizo linatokana na nini ila nilivyofanya uchunguzi binafsi nikagundua kuwa kila nikiingia telegram tu simu inajirestart, nimejaribu kure install na kuinstall app mpya ila shida iko palepale. Apps zingine ziko poa tu. Mwenye ujuzi anisaidie.

NOTE: Storage Iko poa, haina shida. Nawasilisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom