Search results

  1. Mwelewa

    Mliofanikiwa Kwenye Biashara : Je, Ulifanyaje Hadi Kufikia Mafanikio Uliyonayo Leo?

    Salute bosses! Uzi huu nauandika mahususi kwaajili ya kupeana mbinu za biashara ulizotumia wakati unaanza biashara yako hadi ukafanikiwa. Nafahamu hapa JF wapo wafanyabiashara wenye mafanikio wanaoweza kuelezea namna walivyo anzisha biashara zao hatimaye wakafanikiwa. Je, ulifanyaje hadi...
  2. Mwelewa

    Je Utajuaje Idea Yako Ya Biashara Haitafanikiwa?

    Habari bosses! Leo napenda ni-share na wajasiriamali wenzangu MBINU chache zitakazo saidia kufahamu Kwanini idea yako ya biashara HAITAFANIKIWA. Nimeona niliweke hili kinamna hii kwasababu watu wanaongelea tu jinsi wazo la biashara linavyoweza fanikiwa. Leo ngoja tuangalie upande wa pili wa...
  3. Mwelewa

    Blessed earth-strong Bob Marley

    I grew up listening to Bob Marley. His music influenced me in so many ways and continue to do so. From his politically charged lyrics, to songs of freedom we are all witnesses to one of God's greatest messengers Robert Nesta Marley and his LEGEND Salute to the general on his solar return.
  4. Mwelewa

    Marufuku zilizowekwa na Serikali ya awamu ya tano tangu Rais Magufuli aingie madarakani, Novemba 2015

    Wakuu salam kwenu! Tangu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amechaguliwa kuwa Rais na Kuunad Serikali yake ya awamu hii ya tano mengi yametokea na mengi yanatarajiwa kutokea Hapa nataka tukumbushane MARUFUKU zilizowekwa na serikali yake. Marufuku hizo zimejikita...
  5. Mwelewa

    Inasikitisha 2017 haiwezekani kupokea fedha kupitia PayPal ukiwa Tanzania

    Benki kuu fanyieni kazi hii changamoto. Mnawanyima vijana fursa kujipatia kipato. Kwanini msiondoe hizo sheria zenu wajasiriamali wapokee malipo mtandaoni? PayPal inawatumiaji wengi sana (almost half a billion users) Hii maana yake wateja wengi wapo willing zaidi kufanya transaction...
  6. Mwelewa

    We are already Cyborgs

    Habari ya mwisho wa juma wakuu. Matumaini yangu mko buheri wa afya. Leo wakati napitia parua-pepe kusoma makala toka mitandao niliyojiunga (subscribe) nikakutana na hii habari kuhusu kampuni mpya Elon Mask amefungua inaitwa Neurolink Corp. Kwa wasio mjua Elon Mask huyu ni raia wa...
  7. Mwelewa

    Beginner Python exercise: Your help

    Greetings brethren! Few days ago I started a post asking for your help for a beginner python exercise. Give thanks for the contributions.....nilisaidika sana mosi the task was solved pili nilipewa ushauri nikazanie kuelewa basics kwenye python kama vile Array, function, declaration...
  8. Mwelewa

    Msaada Programmers (Python)

    I have started my carrier as programmer. Nina siku chache tu toka nimeanza sasa nimekutana na hii task nahitaji mtu anisaidie. How do I go about it? Task description A zero-indexed array A consisting of N integers is given. An equilibrium index of this array is any integer P such that 0 ≤...
  9. Mwelewa

    This made me SMILE ☺

    Hii ni Iran. Nafahamu wapo walimu hapa nchini nao wanajitolea kwa uaminifu kabisa kufundisha japokuwa government haiwajali sana. Nasema respect to all teachers out there, keep on doing good job.....your great work is being appreciated. When I finally become the president of the country expect...
  10. Mwelewa

    Kwanini Putin anauwa wapinzani wake kwa sumu?

    Hii mbinu ya rais wa Russia Vladimir Putin kuwaangamiza wapinzani wake kwa sumu inashangaza sana. Mwanzoni wa mwezi huu kuna mpinzani wake mwingine ameripotiwa kupewa sumu na inadaiwa ni majasusi wa Putin ndiyo wanahusika. Huyu jamaa anaitwa Vadimir Kara Murza. Kara Murza yeye ni activist...
  11. Mwelewa

    Picha: After 9 years of marriage Jay Z and Beyonce are still crazy in love

    Hongera sana mtu mzima Jay. Kudumu kwenye relationship kwa kipindi chote hicho sio mchezo ukizingatia maneno ya watu kujaribu kuwashusha na kuwaongelea sivyo. Nimependa Jay na Bey wamefanya uhusiano wao private hawaweki kila kitu nje. Much love big bro Jay
  12. Mwelewa

    Melania Trump anapwaya kuwa First Lady US?

    Huyu mama inaonyesha viatu vya u-first lady vinampwaya. Niliona Trump akimtetea alipoulizwa na wanahabari kuhusu mipango aliyonayo mkewe kama first lady wa US. Trump anadai watu wanavyomwongelea Melania ni unfair. Zaidi ya hapo ananasema Ivanka (bintiye) atakuwa akimsaidia kwenye mambo ya...
  13. Mwelewa

    Kamatakamata ya wapinzani. Wapinzani simameni imara. Mkifa moyo tutarudi nyuma miaka 20

    Kipindi hiki polisi wanakamata wapinzani kuliko kipindi chochote kile. Lakini haita saidia sana. Sasa hivi inaonekana upinzani unapingwa ufe. Natoa rai wapinzani muwe jasiri zaidi.....msipo simama kiume bila kuogopa misingi ya demokrasia tuliyokuwa tunajitahidi kupigania kama nchi, kama raia...
  14. Mwelewa

    Everybody can be great. Because anybody can serve. You don’t have to have a college degree to serve.

    Everybody can be great. Because anybody can serve. You don’t have to have a college degree to serve. You don’t have to make your subject and your verb agree to serve…. You don’t have to know the second theory of thermodynamics in physics to serve. You only need a heart full of grace. A soul...
  15. Mwelewa

    2016 hiyo inayoyoma, umejifunza nini kuhusu mahusiano hapa MMU?

    Wakuu heshima kwenu! Imekuwa mda sijapost kitu chochote hapa MMU sasa leo nipo na mda nimeona nianzishe thread tuelezane tuliyojifunza kwenye hili jukwaa letu pendwa toka mwaka 2016 umeanza. Sasa hivi ni mwezi October 2016, mwaka unazidi yoyoma na kama ujuavyo siku hazirudi nyuma zikienda...
  16. Mwelewa

    Picha niliyoiona leo na nimeopenda...Michelle Obama & George W Bush

    Hii picha ilipigwa jana katika ufunguzi wa Museum of African American History and Culture. Years ago Bush idhinisha hii project Bank of America wakatoa chapaa ku-erect new building. Naona Michelle kafurahi amemkumbatia Bush aaaah....poa sana. Pengine ingekuwa poa zaidi Bush asingekuwa mpenda...
  17. Mwelewa

    Kuna kitu hamkijui wanawake

    Kuna kitu hamkijui ladies. Ngoja leo niwaambie na nasema hapa nitatumia mfano halisi kilichotokea earlier this week ili muelewe zaidi kwasababu ni muhimu na pia inaendana na kauli mbinu ya JPM "kutumbua majipu." Ni hivi.....maisha kwa watu wengi (especially working class) yamekuwa ya gharama...
  18. Mwelewa

    UKAWA kuweni makini, Propaganda hizi za CCM zina lengo kuzima juhudi zenu

    Wanabodi nawasalimu. Napenda nitoe angalizo kwa wanaukawa juu ya propaganda CCM wanazofanya hususani kipindi hiki baada ya Magufuli kuwekwa madarakani. Namba moja. CCM bado wanatumia propaganda ya "ukanda" kuwaaminisha watanzania wasioelewa mambo waone umoja wenu.....hususani chama cha...
  19. Mwelewa

    Chuki dhidi ya watu wa "Kaskazini" ni ujinga mtupu, ole wenu

    Habari wakuu. Leo nimeona thread ilianzishwa hapa (japo imeshafungwa sasa) ikisema maneno machafu dhidi ya watu wamikoa ya Arusha na Kilimanjaro. Mtu huyo aliyeanzisha hiyo thread hakuwa amefanya hivyo kimakosa no aliandika aliyopata kuandika akiwa na akili timamu kabisa kwasababu anajua lengo...
  20. Mwelewa

    Lisa Hana. Waziri wa Utamaduni na maendeleo ya vijana

    Love her spirit she is beautiful, downtoearth and above all she loves to help ppl. This lady also contested and won the tittle of Miss World few years ago. Mungu bariki wanawake ✊✊✊
Back
Top Bottom