Mwelewa
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 2,343
- 3,284
Huyu mama inaonyesha viatu vya u-first lady vinampwaya. Niliona Trump akimtetea alipoulizwa na wanahabari kuhusu mipango aliyonayo mkewe kama first lady wa US. Trump anadai watu wanavyomwongelea Melania ni unfair. Zaidi ya hapo ananasema Ivanka (bintiye) atakuwa akimsaidia kwenye mambo ya wanawake na mengine yanayomuhusu first lady.
Toka Trump ameingia ikulu bintiye Ivanka ndiye anaonekana zaidi akivaa viatu vya u-first lady. Melania yeye yupo busy New York hataki kabisa kuwa on the spotlight. Labda lugha na utashi wa mambo ya kijamii na kisiasa ndiyo unamsumbua? Au historia yake ya nyuma ya modelling na picha nyingi za half naked zinampa uzito kuwa mbele ya macho ya Waamerika? Ukumbuke huyu mama amekuwa akitolewa maoni makali kuhusu hizo picha sasa anaona hatari? Kwa utawala uliopita wa Obama.....first lady Michelle Obama alikuwa brilliant. Kila mmoja aliona jinsi Michelle alivyosaidia kusukuma agenda za wanawake na watoto.
Melania yeye mara moja tu alikuwa na Sara Netanyahu akamtembeza National Museum of Afrikan History and Culture. Baada ya hapo hashughuliki na lolote. Je Melania atakuwa worst first lady kuwahi kutokea katika historia ya United States? Waamerika wategemee nini kwa huyu mama? Au Ivanka ndiyo ataonwa kama first lady? Hii imekaaje?