Kwanini Putin anauwa wapinzani wake kwa sumu?

Mwelewa

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
2,343
Reaction score
3,287
e3e047d215549eee4cf0660ee5acec32.jpg

Hii mbinu ya rais wa Russia Vladimir Putin kuwaangamiza wapinzani wake kwa sumu inashangaza sana.

Mwanzoni wa mwezi huu kuna mpinzani wake mwingine ameripotiwa kupewa sumu na inadaiwa ni majasusi wa Putin ndiyo wanahusika. Huyu jamaa anaitwa Vadimir Kara Murza. Kara Murza yeye ni activist anafanya kazi na taasisi inaitwa Open Russia ambayo inahusika kutetea demokrasia Urusi. Wiki mbiki zilizopita jamaa alianguka alipokuwa mkutanoni na ikagundulika kidney yake ili-fail kwasababu yakupewa sumu. Huyu jamaa kwa mara ya kwanza alipata hii dhahama ya kulishwa sumu mwaka 2015 akapelekwa hospital hali yake ikatengemaa. Lakini sasa dalili zimerudi tena na sasa hivi amepelekwa nje (nchi haijatajwa) kupata matibabu zaidi.

Ikimbukwe kwamba Kara Murza alifanya kazi kwa karibu na Boris Nemtsov mpinzani wa Putin aliyepigwa risasi hadi kufa nje ya Kremlin ambayo ni ikulu ya Putin.

Pia kama mnakumbuka miaka michache Alexander Litvinenko jasusi ya miaka hiyo wa KGB alilishwa polonium alipokutana na majasusi wawili wa Russia hotelini London. Huyu jamaa aliteseka mwisho alifariki. Lakini Litvinenko hakufa kikondoo aliandika vitabu viwili akielezea mikakati ya Putin kuuwa wanaompinga kote Russia au nje ya Russia

Nikifikiria jinsi Putin anavyoendesha siasa zake namwona kama jambazi anayeifanya Russia kama nchi yake binafsi. Inamaana hakuna wakumpoteza huyu jambazi Putin anayewekea wenzake sumu kisa wametofautiana kimawazo na mrengo wa siasa?

Mbali na kuuwa kwa sumu Putin amefukuza wafanyabiashara wengi nchini kwake wasiopendezwa na anavyoendesha nchi.

Huyu Putin mbona anafanya politics kama viongozi katili wa Afrika? Inamaana ukiwa na power basi kuuwa wenzako kwa sumu ndiyo ushujaa?

Ukiuwa kwa upanga na wewe utakufa kwa upanga. Muda utaongea. Hata kama Putin atamaliza muda wake lakini huyu jamaa watu hawata muacha watamfuatilia yeye au kizazi chake.

Nini maoni yako hukusu anayofanya Putin?
 
Tunataka ushahidi wa uhusika wa moja kwa moja wa Putin ndio tuchangie maada yako usiwe wale wakutangaza majina bila ushahidi
 
Wewe unafuatilia siasa za Russia? Ulifuatilia kisa cha Alexander former KGB agent aliyeuwawa kwa sumu London Hotel? Putin anafanya assassinations kwa wapinzani wake you must be very ignorant ukishindwa kung'amua hili.
 
Tanzania tuna copy yake
Hivi visa vyakulishana sumu kwa wanasiasa vinafanywa na viongozi wenye chuki. Aisee inatiasha sana. Na wanatumia hii mbinu kwasababu sio rahisi sana kugundulika. Fikiria mtu anakuwekea sumu kwenye sabuni ya kuogea hotelini kwako.....you won't suspect anything utashangaa viungo vina-fail halafu kifo kinafuata
 
Ya Ngoswe muachie Ngoswe mkuu ,na yeye atakutana na wababe ,suala muda Tu.
 
Kwa upande mmoja nakubaliana na wewe ingawa on other side cmlaum puti,cz ukifuatilia karibia woote wanao kuwa assasinated ni mashushu waliopandikizwa na nchi za magharibi na putin as a former kgb boss anajua how to deal with them
Huwezi sema watu wanaopigania usawa wa kisiasa ni mashushushu wa West. Kupigania usawa wa kisiasa kwa wote ni muhimu kwa taifa siyo mtu mmoja anapewa nafasi wengine wanabanwa. Putin has been abusing power for so long now its high time someone should stop him before many more get killed
 
stimates of deaths in the Libyan Civil War vary with figures from 2,500 to 25,000 given between March 2 and October 2, 2011.[1][2] An exact figure is hard to ascertain, partly due to a media clamp-down by the Libyan government. Some conservative estimates have been released. Some of the killing "may amount to crimes against humanity" according to the United Nations Security Council[3] and as of March 2011, is under investigation by the International Criminal Court.[4]

Deaths caused by government forcesEdit
 
Huwezi sema watu wanaopigania usawa wa kisiasa ni mashushushu wa West. Kupigania usawa wa kisiasa kwa wote ni muhimu kwa taifa siyo mtu mmoja anapewa nafasi wengine wanabanwa. Putin has been abusing power for so long now its high time someone should stop him before many more get killed
First no one will stop him
Second, the opposition people many of them are used by western countries that is not something a country should be happy with.
Asa long as the west keeps collaborating with them they give him at least justfication of killing em
 
Next time goe Deeper mkuu kabla hujaja na uzi wowote Ule mkuu...
Sio justification tuu and ignored da facts over wats going on ktk hii Dunia...
 
Huwezi sema watu wanaopigania usawa wa kisiasa ni mashushushu wa West. Kupigania usawa wa kisiasa kwa wote ni muhimu kwa taifa siyo mtu mmoja anapewa nafasi wengine wanabanwa. Putin has been abusing power for so long now its high time someone should stop him before many more get killed
Wewe ni nani mpk uwasemee mamililoni ya raia wa Russia wanaomchagua Putin,kwani wao hawaoni! ndio yaleyale ya kupangia budget mshahara wa mtu mwingine!
 
Mtu akishatambulika kuwa ni agent wa magharibi kinachofuatia ni assassination tu,wala Putin hausiki,hiyo ni kazi ya FSB,kumaintain usuper power sio kazi ndogo,it comes with sacrifices
Unamjua Boris? Unataka kusema Boris alikuwa shushuahu wa West? Read the thread carefully
 
Back
Top Bottom