Mwelewa
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 2,343
- 3,284
Kipindi hiki polisi wanakamata wapinzani kuliko kipindi chochote kile. Lakini haita saidia sana.
Sasa hivi inaonekana upinzani unapingwa ufe.
Natoa rai wapinzani muwe jasiri zaidi.....msipo simama kiume bila kuogopa misingi ya demokrasia tuliyokuwa tunajitahidi kupigania kama nchi, kama raia itapotea na tutarudi nyuma miaka 20. Je mamilioni ya vijana wanaoamini katika siasa ya vyama vingi na demokrasia watapata wapi watu wakujifunza kwao? Nani watamwona kama shujaa wao? Labda mkiwa jasiri zaidi kutakuwa na usawa kama awali? Vyama vya upinzani vitaheshimiwa?
Nawatia moyo juhudi zenu zitakumbukwa na kuheshimiwa. You can afford to lose battle but not war. Endeleeni kueneza mawazo mbadala kwa watanzania hata kama mtawekwa rumande. Mkiwa rumande endeleeni kueneza saisa huko huko kwa bwana jela. Words are powerful but actions are mightier. Sitaki ni-sound precious nasema vile ninamini. Upinzani ukifa tunajitia kitanzi wenyewe. Wekeni tofauti kando....pataneni kama mashujaa. Zitto, Mbowe, Mnyika, Lowassa, Lissu, Lema, Prof J, Natse, Bulaya, Mdee, Nassari, na wengine wengi.
Pia rai hii iwafikie wananchi wa kada zote. Tuendelee kusema kuhusu nchi yetu. Asitokee yeyote atufunge mdomo
Aisee viongozi wa upinzani mkiacha upinzani upotee itakuwa ni sawa CIA kuchoma moto upelelezi wa miaka 20 kuhusu Russia bila kufanikisha lengo kuu.