Picha niliyoiona leo na nimeopenda...Michelle Obama & George W Bush

Mwelewa

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
2,346
2,000
Hii picha ilipigwa jana katika ufunguzi wa Museum of African American History and Culture. Years ago Bush idhinisha hii project Bank of America wakatoa chapaa ku-erect new building. Naona Michelle kafurahi amemkumbatia Bush aaaah....poa sana. Pengine ingekuwa poa zaidi Bush asingekuwa mpenda vita.....watu wengine wakiona picha ya Bush ni kama wanaona picha ya mbwa mwitu amevaa ngozi ya kondoo.
 
Attachments

  • 1474785251018.jpg
    File size
    40.3 KB
    Views
    104

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,607
2,000
Hii picha ilipigwa jana katika ufunguzi wa Museum of African American History and Culture. Years ago Bush idhinisha hii project Bank of America wakatoa chapaa ku-erect new building. Naona Michelle kafurahi amemkumbatia Bush aaaah....poa sana. Pengine ingekuwa poa zaidi Bush asingekuwa mpenda vita.....watu wengine wakiona picha ya Bush ni kama wanaona picha ya mbwa mwitu amevaa ngozi ya kondoo.

Watu wake wanapigwa risasi yeye anakula bata tu na kukenua meno halafu ukifika uchaguzi wanajifanya kwenda ghetto na sijui kutembelea Selma!
Siwapendi hawa watu yeye na Mume wake!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom