Kuna kitu hamkijui wanawake

Kuna kitu hamkijui wanawake

Mwelewa

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
2,343
Reaction score
3,287
Kuna kitu hamkijui ladies. Ngoja leo niwaambie na nasema hapa nitatumia mfano halisi kilichotokea earlier this week ili muelewe zaidi kwasababu ni muhimu na pia inaendana na kauli mbinu ya JPM "kutumbua majipu."

Ni hivi.....maisha kwa watu wengi (especially working class) yamekuwa ya gharama sana, kila kitu bei juu na ili uweze kumudu haya lazima angalau uwe na kazi inayokuingizia kipato kikubwa au kama huna hiyo kazi uwe unaielewa hela mambo muhimu kama vile jinsi gani upangilie matumizi yako kipi ununue kipi uache....na kadhalika.

Sasa kwa bahati mbaya wanawake wengi hawana haya maarifa na wanajiingiza majaribuni na hapa wengi hupoteza hadhi zao kwa jambo dogo tu ambalo kama angetanguliza NIDHAMU mambo yasingeenda ndivyo sivyo.

Wanawake:

Wametengeneza mental attitude mbaya sana wao ni weak hawawezi pambana, wanapokuwa katika hali ngumu mwanaume au mtu fulani ataona huruma na kusaidia mara moja.

Wametengeneza mental attitude mbaya wao hawawezi kuwa independent financially hivyo hakuna umuhimu kuwekeza katika mambo ya msingi kabisa kwaajili ya future.

Juzi kati niliamua kuvisit eneo fulani nje ya mji ninaoishi, nikatoka huyo hadi hiyo street niko na motor bike nafurahisha macho kutazama mazingira na watu ninaokutana nao. Sasa nikafika mbele kidogo nikaona duka mbele ya nyumba nadhifu sana nikavutiwa nikasema ngoja niende nikanunue hata maji pale.

Nilipofika akatokea lady miaka kama ishirini na sita hivi nywele ndefu hadi mgongoni lakini zipo rough kidogo nikajua alikuwa busy na shughuli fulani huko ndani. Hapa niseme kitu, huyu dada yuko vizuri sana kwa maana ya uzuri wa umbile na hata baada ya siku hii tukiwa tumeshazoeana tayari niligundua ni mtu wa kujiheshimu ila "shida inapokuwa kubwa" kama walivyo wanawake wengi msamiati NIDHAMU na uvumilivu hupotea katika medula zao.

Huyu "mrembo" ameolewa na hili alikiri toka siku ya kwanza maana nilivyofika pale dukani tulizungumza kidogo si unajua tena mwanaume ukikutana na lady mzuri na ukahisi energy level yake inamatch na ya kwako sio mbaya kuwa interested kumjua zaidi.

Well, now let me continue....hivi juzi nilikutana naye sehemu na hapa nikiri wazi yeye ndiye aliniomba tukutane na kwasababu aliniambia she is married nikasema hiyo ni sawa nikaahidi nitamweshimu jambo ambalo nitaendelea kulishikilia. Kwenye kikao chetu huyu dada akanieleza vitu vingi sana kuhusu family yake hadi nikajiuiza why telling me all this ila nikawa positive nikaendelea kusikiliza.

Sasa mwisho akabadilisha mada na kuanza kuzungumzia financial hardship aliyonayo akidai japo mumewe yupo vizuri ila hampi uhuru kabisa na huo ukwasi wao. Sasa tukiwa bado tunaongea nikaanza kuona hali flani ambayo si ya kawaida na nikahisi hapa anaenda kunishawishi kingono ili nikidhi mahitaji yake financially. Nashukuru nilipata ujasiri nikaongea kitu nikamgutusha kwasababu alishaanza kujenga mental attitude mimi niko pale nitafanikisha tu yeye kama mwanamke atasaidiwa tu.

Nilimwambia bila kupindisha maneno "nadhani hujui kitu, shida hii kidogo tu unataka kujiingiza katika risk ambayo hatima yake ni hatari na unaweza kuvunja ndoa yako, kwanini na wewe usiwe mbunifu upange mambo yako ili uwe huru?" Hapa ikawa mwisho wa kikao, alizira. Malengo yake sikuyatimiza ila I'm thankful sasa hivi hana noma ameemua kurudi kwenye mstari ulionyooka, ameamua kufungua business yake, ile attitude ya awali imekwisha.

Ladies wa JF take notes, msikubali kuwa dependent aisee, yani tabia hii inawafanya wanawake hadi wanakosa mvuto kwasababu hata hawaelewi jinsi gani walivyo strong, basi wanaishia kuwa wanawake wazuri lakini wa hivihivi tu.

Ladies wake up and live.
 
Attachments

  • 1449213948849.jpg
    1449213948849.jpg
    12.7 KB · Views: 1,312
Dependence ipo ya aina nyingi, naona emotional dependence ndio worse.

Aaah ila hii kudhani watasaidiwa financially inakera inaondoa hadi uzuri mwanamke alionao. Kuwa independent muhimu sana isee.
 
Pamoja na kutupa ujumbe ila nimehisi na ka ubahili unako..... Nimewaza tu
 
Kakuambia? May be anashinda anatafuta hela akirudi nyumbani hapati faraja labda anahisi kiu.... Nimewaza tu

Kiu si anamume? Asaliti ndoa kwasababu hii ndogo? Nadhani alikuwa na mental attitude mbaya ndio maana nilipomweleza aliamua kufanya kitu juu ya maisha yake. Sometimes wanawake mnatakiwa mkumbushwe sana mbakie kwenye mstari seriously.
 
Mwanamke akiwa financially independent jua anakuwa huru kwa kila kitu
 
Namkubali kwa asilimia 100 mtoa mada. Wanawake tunaweza sana, halafu ukiwa unamtegemea mtu sana unakuwa mtumwa kuliko mfungwa. wanawake tujipange upya
 
Kuna kitu hamkijui ladies. Ngoja leo niwaambie na nasema hapa nitatumia mfano halisi kilichotokea earlier this week ili muelewe zaidi kwasababu ni muhimu na pia inaendana na kauli mbinu ya JPM "kutumbua majipu."

Ni hivi.....maisha kwa watu wengi (especially working class) yamekuwa ya gharama sana, kila kitu bei juu na ili uweze kumudu haya lazima angalau uwe na kazi inayokuingizia kipato kikubwa au kama huna hiyo kazi uwe unaielewa hela mambo muhimu kama vile jinsi gani upangilie matumizi yako kipi ununue kipi uache....na kadhalika.

Sasa kwa bahati mbaya wanawake wengi hawana haya maarifa na wanajiingiza majaribuni na hapa wengi hupoteza hadhi zao kwa jambo dogo tu ambalo kama angetanguliza NIDHAMU mambo yasingeenda ndivyo sivyo.

Wanawake:

Wametengeneza mental attitude mbaya sana wao ni weak hawawezi pambana, wanapokuwa katika hali ngumu mwanaume au mtu fulani ataona huruma na kusaidia mara moja.

Wametengeneza mental attitude mbaya wao hawawezi kuwa independent financially hivyo hakuna umuhimu kuwekeza katika mambo ya msingi kabisa kwaajili ya future.

Juzi kati niliamua kuvisit eneo fulani nje ya mji ninaoishi, nikatoka huyo hadi hiyo street niko na motor bike nafurahisha macho kutazama mazingira na watu ninaokutana nao. Sasa nikafika mbele kidogo nikaona duka mbele ya nyumba nadhifu sana nikavutiwa nikasema ngoja niende nikanunue hata maji pale.

Nilipofika akatokea lady miaka kama ishirini na sita hivi nywele ndefu hadi mgongoni lakini zipo rough kidogo nikajua alikuwa busy na shughuli fulani huko ndani. Hapa niseme kitu, huyu dada yuko vizuri sana kwa maana ya uzuri wa umbile na hata baada ya siku hii tukiwa tumeshazoeana tayari niligundua ni mtu wa kujiheshimu ila "shida inapokuwa kubwa" kama walivyo wanawake wengi msamiati NIDHAMU na uvumilivu hupotea katika medula zao.

Huyu "mrembo" ameolewa na hili alikiri toka siku ya kwanza maana nilivyofika pale dukani tulizungumza kidogo si unajua tena mwanaume ukikutana na lady mzuri na ukahisi energy level yake inamatch na ya kwako sio mbaya kuwa interested kumjua zaidi.

Well, now let me continue....hivi juzi nilikutana naye sehemu na hapa nikiri wazi yeye ndiye aliniomba tukutane na kwasababu aliniambia she is married nikasema hiyo ni sawa nikaahidi nitamweshimu jambo ambalo nitaendelea kulishikilia. Kwenye kikao chetu huyu dada akanieleza vitu vingi sana kuhusu family yake hadi nikajiuiza why telling me all this ila nikawa positive nikaendelea kusikiliza.

Sasa mwisho akabadilisha mada na kuanza kuzungumzia financial hardship aliyonayo akidai japo mumewe yupo vizuri ila hampi uhuru kabisa na huo ukwasi wao. Sasa tukiwa bado tunaongea nikaanza kuona hali flani ambayo si ya kawaida na nikahisi hapa anaenda kunishawishi kingono ili nikidhi mahitaji yake financially. Nashukuru nilipata ujasiri nikaongea kitu nikamgutusha kwasababu alishaanza kujenga mental attitude mimi niko pale nitafanikisha tu yeye kama mwanamke atasaidiwa tu.

Nilimwambia bila kupindisha maneno "nadhani hujui kitu, shida hii kidogo tu unataka kujiingiza katika risk ambayo hatima yake ni hatari na unaweza kuvunja ndoa yako, kwanini na wewe usiwe mbunifu upange mambo yako ili uwe huru?" Hapa ikawa mwisho wa kikao, alizira. Malengo yake sikuyatimiza ila I'm thankful sasa hivi hana noma ameemua kurudi kwenye mstari ulionyooka, ameamua kufungua business yake, ile attitude ya awali imekwisha.

Ladies wa JF take notes, msikubali kuwa dependent aisee, yani tabia hii inawafanya wanawake hadi wanakosa mvuto kwasababu hata hawaelewi jinsi gani walivyo strong, basi wanaishia kuwa wanawake wazuri lakini wa hivihivi tu.

Ladies wake up and live.

naomba nakala hii ipelekwe bongo movie...na nyingine iende kwa shigongo..pia usisahau kuambatanisha nakala hii kwa wafuatao
1- wema
2- aunt eze
3- shamsa
4- rose ndau
5- na wengineo wengi tuuuuu...majina yamenitoka.
 
Kiu si anamume? Asaliti ndoa kwasababu hii ndogo? Nadhani alikuwa na mental attitude mbaya ndio maana nilipomweleza aliamua kufanya kitu juu ya maisha yake. Sometimes wanawake mnatakiwa mkumbushwe sana mbakie kwenye mstari seriously.

Kama ni kiu mmewe yupo.

Sio kila mme ni mkata kiu bana wame wengine kama majogoo ya kuchora tu
 
naomba nakala hii ipelekwe bongo movie...na nyingine iende kwa shigongo..pia usisahau kuambatanisha nakala hii kwa wafuatao
1- wema
2- aunt eze
3- shamsa
4- rose ndau
5- na wengineo wengi tuuuuu...majina yamenitoka.
Hahahahaha dah
 
Back
Top Bottom