Search results

  1. Christopher Wallace

    Arsenal anatolewa na Bayern Munich leo

    Katika uwanja wa Allianz Arena, jijini Munich nchini Ujerumani kuna mchezo wa mkondo wa pili wa robo fainali ya UCL. Baada ya droo ya 2-2 wiki iliyopita, leo Bayern Munich wanawakaribisha Arsenal. Hili ndio taji pekee ambalo Bayern kabakisha na nina uhakika watataka wafike mbali zaidi baada ya...
  2. Christopher Wallace

    Wanawake walioungana mmoja aolewa

    #FAHAMU: Abby na Brittany Hensel ambao ni mapacha walioungana mmoja wao ametangaza kufunga ndoa na Josh Bowling ambaye ni nesi na mwanajeshi mkongwe wa Jeshi la Marekani ndoa ambayo ilifungwa mwaka 2021 Aliyetangaza kuolewa ni Abby Hensel ambaye ni pacha aliyeungana upande wa kushoto ambapo...
  3. Christopher Wallace

    Vifurushi vya DStv kupanda bei kuanzia April Mosi mwaka huu 2024

    EPL weekend nikiwa sebuleni kwangu inanifanya nishindie dagaa😫
  4. Christopher Wallace

    Ili ufurahie DStv kifurushi kianzie 60,000

    Sasa hivi ni 64,000
  5. Christopher Wallace

    Mara ya mwisho kupima uzito ulikuwa na kilo ngapi?

    Mwambie apungize kunywa soda na kula nyama
  6. Christopher Wallace

    Mara ya mwisho kupima uzito ulikuwa na kilo ngapi?

    Hii jeans inahitaji mjadala wa kitaifa
  7. Christopher Wallace

    Kama hujawahi kufika jiji la Tanga, basi haya ndio mambo yanayopatikana huko

    Ijue Tanga Mjini Na Maajabu Yake. Katika maisha yako jitahidi sana walau siku moja ufike Tanga, utakuja kunishukuru… Haya jionee maajab ya jiji la Tanga 1. Ikifika Saa 3 usiku Hakuna Daladala Utaona Barabarani. 2. Jiji Lina Watu 390K Lakini Ifikapo Saa 4 Huoni Watu Nje Usiulize Kwanini...
  8. Christopher Wallace

    Matokeo ya 1-1 Liverpool na Man City yaipa faida Arsenal kwenye EPL

    Habari zako nyingi unazopost ndio huwekwa kwenye chanel ya JF kule Whatsapp. Unaupiga mwingi na jamaa zako wanajua kukubeba
  9. Christopher Wallace

    Matokeo ya 1-1 Liverpool na Man City yaipa faida Arsenal kwenye EPL

    Klabu ya Liverpool imetoka sare ya 1-1 dhidi ya Man City katika mchezo mgumu na wenye kutoa uelekeo wa ubingwa wa EPL. Mchezo huo uliopigwa katika dimba la Anfield, Man City ndio walikuwa wa kwanza kupata goli kipindi cha kwanza kupitia John Stones kabla ya Liverpool kusawazisha kipindi cha...
Back
Top Bottom