Search results

  1. Satuuuu

    Utoroshaji wa mahindi ktk wilaya ya Tarime na Rombo

    Katika hali ya kutatanisha wakazi wa wilaya ya Tarime-Mara mpakani Silari wanatumia bodaboda kusafirisha mahindi kwa njia za panya kama ilivyo vivyo hivyo ktk wilaya ya Rombo huko Kilimanjaro.kama sio kuna mkono wa rushwa unaotembea kwa wahusika basi kuna hali ya wahusika kutokua makini na kazi...
  2. Satuuuu

    Some women

  3. Satuuuu

    To All Ladies

  4. Satuuuu

    Naomba kufahamishwa zaidi juu ya 'fake death'

    Hapa kwetu Tz napo palikua na maneno ya namna hiyo kwa bwana mmoja ambae inasemekana mamlaka kuu waliamua kufanya hivyo kutokana na sababu za 'kikaunda suti'.Napo jeneza lilikuja likazikwa bila kuaga mwili. Sasa wakuu mnifahamishe inakuaje yote hayo yawezekane na wanaposema plastic sgery ndo...
  5. Satuuuu

    Nini maana ya neno 'Dude'

  6. Satuuuu

    Kuuzwa kwa dawa za kuongeza nguvu za kiume safarini je ni sahihi ?

    Wakuu habari zenu Ktk safari ya kuelekea Mbeya katika eneo la Morogoro nyama choma(Lugeno) pamezuka vijana wanaouza dawa za kuongeza nguvu ktk tendo la ndoa kwa wanaume tena hadharani kwa wasafiri kanakwamba wanauza soda,matunda,korosho,nyama choma na ndizi kama ilivyo ada ya kituo kile...
  7. Satuuuu

    Mapokezi ya Nape hayatofautiani na yale aliyopewa Marehemu Deo Filikunjombe

    Ninani asiyemkumbuka jembe na mpiganaji marehemu Deo F. ? Alisifika na kusikika kila kona ya Tz kwa jinsi alivyoendesha shughuli zake kisiasa jimboni Ludewa lakini leo hii atunae tena,R.I.P Brother . Tukio la Nape kupokelewa kama shujaa na wananchi wa jimbo lake limekumbusha tukio ambalo...
  8. Satuuuu

    Wizi wa namna hii ukomeshwe Dar

    Wadau habari za mchana Huu wizi wa kuiba katika magari kwa kulainisha kioo kisha wanakipiga tu kilaini wanaiba kilichomo garini kisha baadae wanakupigia simu na kukuambia uwatumie hela kisha wanakuelekeza pakwenda kuchukua vitu vyako.Wizi wa aina hii sasa umeenea sana maeneo ya Mbezi Beach na...
  9. Satuuuu

    Ni kifaa gani kilichopo upande wa kulia anapohutubia Mh.Mwenyekiti wa CCM-Dodoma

    Kama nilivyouliza ktk heading,wadau naomba mnifahamishe na hii ni kwa wale waliopo Dom ktk kikao au wale wanaotizama mubashara. Hicho kifaa ni kifaa chenye kazi gani ? Kipo upande wa kulia mwa Rais wetu.
  10. Satuuuu

    Ajali: Basi la Happy Nation, Abood bus na Lori, yapata ajali Milima Kitonga,

    Wakuu kuna habari nimepewa na mmoja wa wasafiri yakuwa Leo majira ya saa tano kuna ajali imetokea eneo la mlima Kitonga ambapo bus la Aboud,Hpy Nation na fuso yasemekana yameporomokea shimoni,sasa mliopo ktk eneo la tukio tafadhali naomba mtujuze zaidi. Ajali mlima kitonga mchana huu kati...
  11. Satuuuu

    Ni nini maana ya picha hii?

    Ikumbukwe kua kuanzia tarehe ya leo viroba haviruhusiwi kitaa
  12. Satuuuu

    Andika hapa pumba yeyote uliyoisikia lakini ukifikiria inaleta maana katika maisha yako

    Wakuu habari zenu, Hii ni thread huru kwa yeyote kuandika maneno ya pumba aliyowahi kukutana nayo lakini ukiyatafakari unaona yanaleta maana fulani katika jamii ya leo. Mimi naanza na niliskia Leo kutoka kwa msaidizi we kazi hapa home ambayo ni 'yeye katika mwezi ni lazima ampige au kumgombeza...
  13. Satuuuu

    Hotuba ya D.Trump kwa lugha ya Kipare

    Wakuu salaaam Mfumwa wa matha Roberts, Mfumwa Carter,mfumwa Clinton, Mfumwa Bush,mfumwa Obama,na vaghenji va Amerika na vandu va ithanga lothee,Nahavacheni thanaa. Uthwi vandu va America iki tuoka kindu kimwe hena kindu kibaha cha ithanga kwa nguju ja kujenga ithanga letu na kuvika kuvonwa...
  14. Satuuuu

    Yaliyojiri Kuapishwa kwa Donald Trump, rais wa 45 wa Marekani

    Wakuu habari yenu Huu ni ukurasa huru kwa yeyote mwenye kufwatilia kinachoendelea USA ktk kuapishwa kwa Trump ili sisi tulio mbali na TV zetu tujue nini kinaendelea. Rais mteule Donald J. Trump anatarajiwa kuapishwa rasmi kuwa rais wa 45 wa Marekani majira ya saa 2 usiku kwa saa za Afrika...
  15. Satuuuu

    Ukame Kenya wasababisha kufungwa kwa 'Car Wash'

    Habari zenu wadau Katika kujilinda zaidi na balaa la ukame majirani zetu nchini Kenya wanafikiri kuzifunga sehemu zote za kuoshea magari katika jiji la Nairobi na hasa wale wanaotumia maji toka bomba kuu la serikali. Pongezi kwenu wakuu kwa kuwa makini na kuikubali hali halisi ya kimazingira...
  16. Satuuuu

    Tabia ya wadada wanajichukua video kupitia simu au laptop zao wakiwa uchi ikemewe

    Kuna janga kubwa ktk jamii ya Leo wadada wanajichukua video kupitia simu au laptop zao wakiwa uchi au nusu uchi wakiwa wanacheza mziki au wakiwa wanafanya vituko visivyo eleweka. Lakini pia kuna katabia wanaume kuwarekod wapenzi wao pia na baadae kuisambaza video kwa rafiki zao. My take...
  17. Satuuuu

    Akisemacho Zitto kinaukweli ndani yake

    Katika pitapita zangu kanda ya ziwa nimekuta kuna zoezi la kuandikisha idadi ya watu kwa kila familia kwa kigezo cha njaa, nilipo uliza zaidi nikaambiwa wameagizwa kufanya hivyo kwani msaada wa chakula ukija kunapaswa kuwe na idadi halisi kuepuka uchakachuaji........ Kama hii ndio hali halisi...
Back
Top Bottom