Satuuuu
JF-Expert Member
- Dec 3, 2015
- 1,849
- 1,993
Ninani asiyemkumbuka jembe na mpiganaji marehemu Deo F. ? Alisifika na kusikika kila kona ya Tz kwa jinsi alivyoendesha shughuli zake kisiasa jimboni Ludewa lakini leo hii atunae tena,R.I.P Brother .
Tukio la Nape kupokelewa kama shujaa na wananchi wa jimbo lake limekumbusha tukio ambalo marehemu Deo nae alipokelewa kwa shangwe nyingi pindi kile baada ya kusimama imara ktk kuusema ukweli na kuweka maslahi ya nchi mbele bila kuangalia mambo ya uchama bungeni.
Pongezi kwako Nape kwa mapokezi hayo uliyoyapata leo lakini fahamu yakwamba ndio umeanza safari nyingine ya siasa ktk maisha yako ambapo unaitaji kuwa imara zaidi lakini pia kuwa makini zaidi.