Satuuuu
JF-Expert Member
- Dec 3, 2015
- 1,849
- 1,994
Katika hali ya kutatanisha wakazi wa wilaya ya Tarime-Mara mpakani Silari wanatumia bodaboda kusafirisha mahindi kwa njia za panya kama ilivyo vivyo hivyo ktk wilaya ya Rombo huko Kilimanjaro.kama sio kuna mkono wa rushwa unaotembea kwa wahusika basi kuna hali ya wahusika kutokua makini na kazi yao.kufanya hivyo ni kwenda kinyume na katazo lililopo kwasasa la kuuza zao ilo nje ya nchi.
Wahusika wa maeneo haya chukueni hatua stahiki
Wahusika wa maeneo haya chukueni hatua stahiki