Tabia ya wadada wanajichukua video kupitia simu au laptop zao wakiwa uchi ikemewe

Satuuuu

JF-Expert Member
Dec 3, 2015
1,849
1,993
Kuna janga kubwa ktk jamii ya Leo wadada wanajichukua video kupitia simu au laptop zao wakiwa uchi au nusu uchi wakiwa wanacheza mziki au wakiwa wanafanya vituko visivyo eleweka.

Lakini pia kuna katabia wanaume kuwarekod wapenzi wao pia na baadae kuisambaza video kwa rafiki zao.

My take.
Yaweza leta madhara makubwa kwa mhusika pia ktk familia yake Kwahio ile sheria ya mitandao itumike ktk kipengele hiki.
 
Makubaliano ya watu wawili siyaingilii. Wanajua wanachokifanya. Wangekuwa hawajui wangepiga hizo picha hata mchana road.
 
Acha uduwanzi. ...We kinachokukera nin
Wewe umezipataje in the first place?
Unataka tuishi kama tupo kwenye mti. ..
Fanya yako mkuu
 
Makubaliano ya watu wawili siyaingilii. Wanajua wanachokifanya. Wangekuwa hawajui wangepiga hizo picha hata mchana road.
Wengi wao huchukuliwa vdeo na wanaume wao bila wao kujua ikishakua out ndipo huja majuto makubwa
 
Kutoka kwenye li kamera likubwa la kubeba begani na mawaya meengi na tochi yake huku mtaalam wa kulikontro akitoka mjini, siku hizi ni kadude kadogo ka kubeba na mkono mmoja! Wacha tujirekodi mwana wane hadi nyuchi zao zitakapo kuwa za kawaida kama kutizama za mbuzi!
 
Kuna janga kubwa ktk jamii ya Leo wadada wanajichukua video kupitia simu au laptop zao wakiwa uchi au nusu uchi wakiwa wanacheza mziki au wakiwa wanafanya vituko visivyo eleweka.

Lakini pia kuna katabia wanaume kuwarekod wapenzi wao pia na baadae kuisambaza video kwa rafiki zao.

My take.
Yaweza leta madhara makubwa kwa mhusika pia ktk familia yake Kwahio ile sheria ya mitandao itumike ktk kipengele hiki.
Hiyo sheria unayosema inamtaka muathirika akashtaki sasa kama alidhamiria kujirekodi au kurekodiwa tafsiri yake tunasema aliliridhia video isambae pia
 
Hua naamini mtu anaonesha kitu ambacho kwake anakiona ndiyo bora kushinda vyote.
Arnold alikua anaonesha kifua na biceps.
Dorian Yates alikua anaonesha lats.
Steve Michalik akaonesha mwili mzima.
Agness Masogange, Giggy Money, Wema Sepetu wakaonesha matako.

Acha mabinti waoneshe wanavyoona kwao ndiyo vinavutia kushinda vyote.
 
Wacha tuzione, tukiboreka ama mshahara umechelewa basi unadumbukia kwenye social media spesho unazikuta, unakula kwa macho free!!
Hasa ma denti wa sec na wanachuo wameshaingiliwa na jini la kujirecord video za utupu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom