Search results

  1. pambe samanini

    Je! Mahari ni suala la kisheria?

    Nataka kufahamu zaidi kuhusu utoaji wa mahari kwenye masuala ya ndoa kama:- 1. Mahari ni nini? 2. Mahari ni muhimu katika ndoa? 3. Bila mahari ndoa hiyo ni batili? 4. Nani anahusika kupokea na kutoa mahari? 5. Je,! Wasiotoa mahari wanatenda kosa gani kisheria? Karibuni ndugu kwa msaada wenu
  2. pambe samanini

    TASAF ni mali ya nani?

    Serikali yetu ya Tanzania ina mipango na malengo mazuri ya kukwamua wananchi wake katika wimbi la umaskini na kuna mashirika mbalimbali ya kiserikali na yasiyo ya serikali yanayoshughulikia jambo hili. Lakini cha kushangaza TASAF ambayo ni shirika moja wapo sijaelewa wanufaika wake na ni mali ya...
  3. pambe samanini

    Mpira kwapani

    Nimefurahishwa sana na maelekezo ya TAMISEN chini ya waziri Jafo kuwa awamu hii hakuna kuweka mpira kwapani bali gozi litegwe uwanjani lipigwe Nina maswali kadhaa 1 nani kaweka mpira kwapani kati ya Wapinzani na Chama cha dola 2 kuna shida gani ya kumlazimisha aliyeweka mpira kwapani kudunda...
  4. pambe samanini

    Tujipime kisha tuamue vema

    Kwa muda sasa siasa za Afrika na waafrika zimekuwa sikifanana na kutofautiana toka taifa moja hadi jingine hasa muundo na mwenendo wa kisiasa katika nyakati hizi za vyama vingi Afrika imekuwa na utitili wa vyama vya siasa na wanachama hoi kiuchumi na kiuweledi hali ambayo kwao kila wakati ni...
  5. pambe samanini

    Nadhani kuwa siasa inatumika kuhujumu fikra za watu hasa linapotumika neno 'kushtukiza'

    Nimetamani sana neno hili kutokana na uzito wake linapotumika kwani mara nyingi waandishi was habari wakilitumia moyo wangu hufurahia na kuikoga nafsi yangu. Hata hivyo pamoja na weledi wangu mdogo wa lugha zote neno, "kushtukiza" pia hunitatiza sana na wakati mwingine Mimi hudhani kuwa siasa...
  6. pambe samanini

    Sheria inaruhusu mwalimu kujitoa CWT na kujiunga na chama anachokipenda?

    Kwa miaka kadha sasa walimu wamekuwa wakilalamika kuhusiana na chama Chao cha cwt kuwa hakiwatendei haki hasa za kuwatetea kupata stahiki zao kwa mwajli ikiwa pamoja na kupanda daraja, mazingira bora ya kufanyia kazi nk. Hata hivyo makato yasiyo wanufaisha wanachama wao wakati na baada ya...
  7. pambe samanini

    UTANDO JUU YA ULIMI; KICHEFUCHEFU

    Naomba kufahamu ugongwa huu unaitwaje maana ni muda sasa nimesumbuka nao bila majibu au tiba yake. Mwaka 2005 kulitoke ghafla mabaka meusi sana usoni pia pakatokea utando mweupe kwenye ulimi suala ambalo lilipekea kuhisi kichefuchefu na kutema mate mara kwa Mara au kila wakati na hivyo kupata...
  8. pambe samanini

    Safari yetu

    Nauli sina ila natamani kwenda
  9. pambe samanini

    Nina tatizo la kufika kileleni mapema wakati wa tendo la ndoa

    Kwa muda sasa nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la kufika kileleni mapema wakati wa tendo la ndoa kwani dakika moja au mbili tu inanichukua kufyatua manii hali ambayo inaninyima raha na kuchukiwa na mwenzi wangu naomba msaada wenu kwa suala hili
  10. pambe samanini

    Safari yetu iko wapi?

    Tulianza kwa makofi mazito WA WA WA! baadae shangwe nderemo na vifijo kumbe hatukujua faida yake! Sasa kila mtaa watu wanasonyasonya tu hawana cha kusema wala kufanya si wakulima, wafanya biashara balaa kubwa watumishi wa umma na serikali mwezi huu wamekiona cha moto huku wakikumbuka usemi ule...
  11. pambe samanini

    Kwa matokeo haya atapa chuo hapa Tanzania au Africa Mashariki

    Mdogo wangu anataka kusoma shahada ya elimu na matokeo yake haya hapa language E Kiswahili D history E , Je atapata chuo hapa nchini au vyuo vya East Africa?
  12. pambe samanini

    Hivi ni kweli serikali kuajiri January 2017?

    Sina shaka na uhakiki wa watumishi wa umma kuwa umekamilika, na pia kusitishwa kwa ajira, kupanda madaraja na nyongeza ya mishahara muda wake umepita tayari; ni kwa nini taarifa ya ajira, mishara na kupanda madaraja haijahuishwa ili watu wapate stahiki zao? Wasomi hawa na watumishi wa Tz...
  13. pambe samanini

    Upotevu wa vyeti

    Mwalimu Benedicto Mathias Mandago anayefundisha ihugi sekondari, halmashauri ya shinyanga vijijini amepotelewa na vyete vyake vya kitaaluma kwenye zoezi la uhakiki lilofanyika tarehe 19/9/2016 katika kituo cha solwa shule ya msingi. Hivyo kwa yeyote aliyeokota au kaviona kwa namna yeyeo...
  14. pambe samanini

    Tukiona tumeweza ujue tumeshindwa

    Sifa zinaua, pongezi nyingi ni ugonjwa mbaya, mjinga wa leo msomi wa Kesho. Tafakari
  15. pambe samanini

    Serikali ipeleke vyeti vya kumaliza elimu ya msingi mashuleni

    Kuna taarifa kuwa kutakuwa na ukaguzi wa vyeti toka primary hadi elimu waliyonayo watumishi wa umma. Napenda toa rai kwa serikali kupeleka vyeti hivi mashuleni ili kupunguza usumbufu. Hivi sasa walimu wakuu wa shule tulizosoma wanasema ' serikali iliacha kutoa vyeti hivyo, kwa maana hiyo...
  16. pambe samanini

    KWA NINI WALIFUTA KODI NYINGI

    Tokea enzi za ukabaila historia inaeleza ndiko wakati watu walianza kulipa kodi. Tokea enzi hizo hadi ukoloni na baada ya ukoloni watu walilipa kodi kodi zilikuwa nyingi mfano, kodi ya kichwa, mifugo, vitu, mazao, nk ni baadhi ya kodi ambazo waafrika wengi walilipa. Hata hivyo baada ya Uhuru...
  17. pambe samanini

    Hongo ya maneno imetufikisha hapa

    Taifa lenye ngonjera, majigambo, vioja, ulojo, fitina, usaliti, udhalimu, ghirba, ulafi, umangimeza, fikra chakafu, nk kwa wasomi na wananchi wetu wanatuhadaa mashujaa wa siasa na wakombozi wetu, hawa hawafai kwa sababu Vita ikifika mashambulizi yakizidi wanaungana na maadui kutushambulia sisi...
  18. pambe samanini

    Mbona zetu tokea uhuru

    Napenda kulipongeza jeshi la polisi kwa kazi zake za kupambana na kuzuia uharifu dhidi ya raia wake, lakini mauaji ya raia wasiokuwa na hatia yanayofanywa na majambazi bado yanakithiri hapa nchini mfano, tanga, mwanza, mara, pamoja na mauaji dhidi ya ndugu zetu wenye ualbino. Matukio yote haya...
  19. pambe samanini

    Mwandiko mbaya umenifanya kuwa marafiki na mwalimu wangu

    Bahati mbaya sikusoma chekechea bali nilianza darasa la kwanza huku tukimba nyimbo za Kiswahili ambazo kwangu sikuweza kuimba kwa sauti badala yake nilikuwa nachezesha midomo ( lips) pamoja na kufungua kinywa changu kana kwamba natabasamu. Bahati mbaya mwalimu wangu hakujua kuwa sikusoma...
  20. pambe samanini

    Nini maana ya kuoa?

    Mimi ni kijana umri 32 Nina miaka 2 ktk ndoa sitamani tena maana Niko jela ya ndoa, je nifanyeje kutoka?
Back
Top Bottom