Serikali ipeleke vyeti vya kumaliza elimu ya msingi mashuleni

pambe samanini

JF-Expert Member
Oct 27, 2015
368
169
Kuna taarifa kuwa kutakuwa na ukaguzi wa vyeti toka primary hadi elimu waliyonayo watumishi wa umma. Napenda toa rai kwa serikali kupeleka vyeti hivi mashuleni ili kupunguza usumbufu.

Hivi sasa walimu wakuu wa shule tulizosoma wanasema ' serikali iliacha kutoa vyeti hivyo, kwa maana hiyo havipo'. Je watumishi hawa watavipata wapi? Tusaidiane
 
Lengo ni kupunguza watu sasa wakipeleka Vyeti huko shuleni lengo litatimiaje?
 
Back
Top Bottom