Search results

  1. L

    Ni rushwa ndiyo iliyoifanya CCM iwe nzuri

    Ni rushwa ndiyo iliyoifanya CCM iwe nzuri Ni rushwa ndiyo ilikuwa inaipamba CCM ionekane ni tamu inapendeza Ni rushwa ndiyo iliyokuwa inafanya matajiri waikimbilie, wagombee ubunge n.k Ni rushwa ndiyo iliyomwezesha Mohamed Dewji aliyekuwa mbunge wa Singida mjini apate ubunge huo apige deal...
  2. L

    Upo uhusiano wa kuwa teja na kutokuoga?

    Mateja wengi a.k.a wabwiya unga, watumiaji wa madawa ya kulevya ni wachafu, hawaogi, nguo zao chafu, nywele zao zimekaa ovo ovyo tu. Je! kuna uhusiano wowote wa kuwa jeja na kutokuoga. Sisi ni wanaharakati Fulani tunataka kujua kama kuna uhusiano, kama hakuna tuanze kuwakamata na kuwaogesha.
  3. L

    Jukwaa Huru la Wazalendo Lalaani Maamuzi ya Meya wa Dar es salaam

    Siku chache baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kutoa agizo la msako wa nyumba hadi nyumba ili kuwabaini watu wasio na kazi maalum, Meya wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita aliibuka na kudai agizo hilo ni batili na haliwezi kutekelezeka kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu...
  4. L

    Zoezi la uhakiki vyeti likifanyika shule za msingi, nusu ya walimu watakimbia kazi

    Wakurugenzi wateule wameombwa kwenda kusaini form za maadili wakiwa na original certificate za masomo yao yote. Kwa waalimu wa shule za msingi na secondary wakiaambiwa wapeleke vyeti vyao vya form four na darasa la saba vikiwa vimefanana majina wengi hawatapeleka bali wataikimbia kazi, kwa...
  5. L

    Mke mpya wa Mfalme Mswati

  6. L

    Rais JPM ukipata uwenyekiti waCCM komesha rushwa kwenye kura za mapendekezo CCM

    Mheshimiwa ukifanikiwa kupata uwenyekiti wa chama cha mapinduzi CCM tafadhari naomba ujitahidi kukomesha hii tabia ya rushwa katika kura za maoni CCM, tabia hii ni kama uwendawazimu Fulani na inaleta fedheha kubwa kwenye chama. Utakuta mtu kwenye kura za maoni anapata kura nyingi kuliko kura...
  7. L

    Uwii, Sepp Blutter kamwaga mboga yote

    Baada ya kuupiga teke ugali wake Gwiji huyo wa FIFA aliyepigwa bann asijihusishe na masuala ya kabumbu kwa miaka 6 na yeye kaamua kuwaga mboga. Amesema ule upangaji wa draw baada ya makundi kwenye UEFA ulikuwa unafanywa kwa udanganyifu wa nia ya kupanga team gani ikutane na ipi. Anasema vile...
  8. L

    Pikipiki za Police aina ya JIEPENG (XL-MCHINA) rangi nyeupe kwisha habari

    Police walinunua au walipewa msaada wa pikipiki 500 nchi nzima kwa ajili ya shughuri za ki- polisi, pikipiki hizo alikabidhiwa aliyekuwa IGP Bwana Said Mwema ili zigawanywe inchi nzima zisaidie shughuri za police. Pikipiki hizo ambazo zimetengenezwa china mda huu napoandika bandiko hili haziko...
  9. L

    Kuwepo kwa Mbunge Godfrey Mlinga na Nape Nnauye

    Kuwepo kwa wabunge hao katika bunge la 11 kutafanya bunge hilo miaka 5 iwe mingi sana. Nimeona kwa macho yangu wananchi kazaa wakiona Nape wanaondoa haraka sana nuso zao au kama TV wanazima au kama ni gazeti basi gazeti hilo siku hiyo litabaki ubaoni, vile vile mtoo wa Cellina Kombani amebore...
  10. L

    Mh. Lubeleje mbunge wa jimbo la Mpwapwa Mhuuuu!

    Mh Lubeleje mbunge wa Mpwapwa katika ubora wake.
  11. L

    Tumsaidieje mhindi huyu?

    Anatoka India, Yuko Mtwara , alikuja mwaka 2009 akaomba kibali mali ya asili cha kukamata nyoka aina zote,akapewa kibali mali ya asili akamate manyoka idadi yoyote anayotaka maeneo ya kijiji cha Imekuwa na vijiji vya jilani muda kidogo tu alijaza mzigo akaondoka. Kaja tena kakuta mambo...
  12. L

    Halmashauri ya wilaya ya Mpwapwa wanatumbuana wenyewe majipu kabla hawajatumbuliwa

    Halmashauri ya wilaya ya Mpwapwa kumenuka, kila mtumishi wa halmashauri hiyo hamwamini mwenziwe kwa siku za hizi za karibuni, huii ulisini wewe , ulisaini wewe mimi sikuwepo ndiyo lugha inayotumika, pia simu mala nyingi zinakuwa zimefungwa. HALI HALISI ILIVYO Kuna madudu ya kutisha, jamaa...
  13. L

    Waziri wa Michezo acha kukurupuka

    Nape Nnauye-Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo Mh. Nape Nnauye amesema ataipitia ripoti ya hukumu iliyotolewa kwa waliokutwa na hatia kwenye sakata la upangaji KICHWA CHA HABARI KINASEMA ETI KWA NINI MKOA MZIMA UAZIBIWE KWA UPUUZI WA...
  14. L

    Watanzania tusijidanaganye tumefulia

    Hii habari inaweza isiwe nzuri kwa wengi ila inabidi tu tuseme. Hoja ya Tanzania kuondolewa katika mfuko wa Ushirikiano katika kukabili changamoto za kimilleniamu yaani Millenium challenge cooperation (MCC) watanzania tumefulia. Kama jina la mfuko kila nchi inatakiwa sana kuwa na ushikiano na...
  15. L

    Sera ya elimu bure jimbo la Nanyamba haitekelezeki

    Sera ya elimu bure katika katika halmashauri mpya na change ya Nanyamba haitekelezeki kabisaaaaaa, Sera hii katika jimbo na halmashauri hii ya Nanyamba haitekelezeki kwa sababu zifuatazo: 1. Halmashauri ni mpya haina uzoefu wowote wa kutekeleza sera za kitaifa 2. Wanainchi wake ni maskini wa...
  16. L

    Utapeli, utapeli AIRTEL TL,

    Nimepata ujumbe mfupi toka no 0786963511 ukiniarifu kwa Kiswahili kibovu " Imethibitishwa umepokeaTsh 5,000,000 kutoka kwa ofa ya YATOSHA kwa maelezo zaidi mpigie Mr. Juma kwa kutumia no hii, karibu. Nikampigia huyo Mr. Juma akaniongelesha maneno mengi mojawapo nimeshinda kwa kadi mbili na zote...
  17. L

    Halmashauri ya Mpwapwa ni majanga yanafuata

    Serikali Yafuta ?Semina Elekezi? Kwa Madiwani Mpekuzi blog Mwenyekiti Mh.Ngw`Enzi na makamo wake Mh. Fuime hawajui kuandika angalao wanasoma kwa kubabaisha Kiswahili sasa wataendaje na mafunzo haya? Halafu watawezaje kuwafundisha madiwani wenzao wakati wenyewe hawafundishiki? Mwenyekiti...
  18. L

    Uchaguzi wa Meya Halmashauri ya Mpwapwa- kituko chatokea

    Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Mpwapwa leo wamefanya uchaguzi wa mwenyekiti wao kwa upande wa chama cha mapinduzi (CCM),wagombea walikuwa ni madiwani watatu. 1.Mh Dastan Malogo ambaye ni Medical Doctor LT. 2. Mh. Honorati Pima graduate from UDSM na ni mwalimu wa secondary mstaafu level...
  19. L

    Sasa Soccer la Tanzania linachungulia kaburi

    Mpira wetu, kabumbu, soccer la Tanzania linachungulia kaburi kwa sababu zifuatazo 1. Kwa muda mrefu tumeshauriwa kuendesha vilabu vyetu hasa vikubwa vya Simba na Yanga kibiashara tumekuwa wagumu kweli kukubali ushauri huo, bado vilabu vyetu vinategemea wafadhili kidogo AZAM wamejikongoja...
  20. L

    Majipu makubwa (pyomyocitis)

    1. Benki kuu Kuna watoto wengi wa vigogo ambao hawana sifa za kufanya kazi pale wengiwao wanafaa kuwa katika ofisi za halmashauri chini ta ma-district treasurers, kuwa kwao pale ni mzigo wa taifa, pili pale BOT kuna wenye taaluma ya uchumi(economist) hutoa ushauri wa kitaalamu lakini haufanyiwi...
Back
Top Bottom