Watanzania tusijidanaganye tumefulia

laurent Msembeyu

Senior Member
Oct 5, 2015
121
101
Hii habari inaweza isiwe nzuri kwa wengi ila inabidi tu tuseme.
Hoja ya Tanzania kuondolewa katika mfuko wa Ushirikiano katika kukabili changamoto za kimilleniamu yaani Millenium challenge cooperation (MCC) watanzania tumefulia.

Kama jina la mfuko kila nchi inatakiwa sana kuwa na ushikiano na nchi zingine, kuna ubaya kishirikiana wengine?

Changamoto nyingi za kimilenia zinatokana na ukosefu wa utawala bora, nchi kama haitakuwa na utawala bora itakabiliwa na changomoto nyingi mojawapo ni wanachi wake kupoteza maisha, Libya, Irag, SYRIA, Somalia N.K

Kuna nchi zimejifanya maskini jeuri kama Zimbabwe lakini cha moto wanakiona uchumi umeanguka kabisaaa, hela ya Zimbabwe haina thamani hata kidogo ndizi moja inauzwa sh. 300.000 za kitanzania, what an economical flop.

Mfuko huu wa kukabili changamoto za kimilenia umejiwekea kanuni moja nchi mwanachama ikionyesha inaweza kusababisha changamoto inatengwa mala moja ili zile changamoto inazosababisha lisiwe tatizo na kupewa muda ijilekebishe.

Ikumbukwe dalaja likiweka ufa ni changamoto likibomoka kabisa ni tazizo, mfuko wa MCC unahimiza tuzikabili changamoto ili Lisiwe tatizo, sasa kuna ubaya gani kwa hio?

Ni safi sana kuwa na bajeti tegemezi tena safi kuliko lakini bado hatujafikia huko tusijidanganye majuzi tu kamati ya bunge ya viwanda na biashara imeshauri tuagize sukari toka nje kweli si kweli , kwa nini imeshauri hivyo imebaini bado hatuwezi kujitegemea mali hiyo.

Nchi zingine zinahitaji msaada toka kwetu na sisi pia tunahitaji misaada toka nchi zingine, kwa hili la kufurushwa kwenye mufuko wa ushirikiano wa kukabili changamoto za kimilenia Tanzania tumefulia.
 
Hoja ya Tanzania kuondolewa katika mfuko wa Ushirikiano katika kukabili changamoto za kimilleniamu yaani Millenium challenge cooperation (MCC).

Kama jina la mfuko kila nchi inatakiwa sana kuwa na ushikiano na nchi zingine, kuna ubaya kishirikiana wengine?

Changamoto nyingi za kimilenia zinatokana na ukosefu wa utawala bora, nchi kama haitakuwa na utawala bora itakabiliwa na changomoto nyingi mojawapo ni wanachi wake kupoteza maisha, Libya, Irag, SYRIA, Somalia N.K

Kuna nchi zimejifanya maskini jeuri kama Zimbabwe lakini cha moto wanakiona uchumi umeanguka kabisaaa, hela ya Zimbabwe haina thamani hata kidogo ndizi moja inauzwa sh. 300.000 za kitanzania, what an economical flop.

Mfuko huu wa kukabili changamoto za kimilenia umejiwekea kanuni moja nchi mwanachama ikionyesha inaweza kusababisha changamoto inatengwa mala moja ili zile changamoto inazosababisha lisiwe tatizo na kupewa muda ijilekebishe.

Ikumbukwe dalaja likiweka ufa ni changamoto likibomoka kabisa ni tazizo, mfuko wa MCC unahimiza tuzikabili changamoto ili Lisiwe tatizo, sasa kuna ubaya gani kwa hio?

Ni safi sana kuwa na bajeti tegemezi tena safi kuliko lakini bado hatujafikia huko tusijidanganye mujuzi tu kamati ya bunge ya viwanda na biashara imeshauri tuagize sukari toka nje kweli si kweli , kwa nini imeshauri hivyo imebaini bado hatuwezi kujitegemea mali hiyo.

Nchi zingine zinahitaji msaada toka kwetu na sisi pia tunahitaji misaada toka nchi zingine, kwa hili la kufurushwa kwenye mufuko wa ushirikiano wa kukabili changamoto za kimilenia Tanzania tumefulia.
MBONA WAZUNGUSHA MIKONO HAMNA AMANI KABISA,TATIZO NINI,SHANGAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
 
Mkuu Zimbabwe hawana pesa yao tena wanatumia dollar ya marekani,rand ya south Africa na pura ya Botswana,wao kwishile tayari
Hii habari inaweza isiwe nzuri kwa wengi ila inabidi tu tuseme.
Hoja ya Tanzania kuondolewa katika mfuko wa Ushirikiano katika kukabili changamoto za kimilleniamu yaani Millenium challenge cooperation (MCC) watanzania tumefulia.

Kama jina la mfuko kila nchi inatakiwa sana kuwa na ushikiano na nchi zingine, kuna ubaya kishirikiana wengine?

Changamoto nyingi za kimilenia zinatokana na ukosefu wa utawala bora, nchi kama haitakuwa na utawala bora itakabiliwa na changomoto nyingi mojawapo ni wanachi wake kupoteza maisha, Libya, Irag, SYRIA, Somalia N.K

Kuna nchi zimejifanya maskini jeuri kama Zimbabwe lakini cha moto wanakiona uchumi umeanguka kabisaaa, hela ya Zimbabwe haina thamani hata kidogo ndizi moja inauzwa sh. 300.000 za kitanzania, what an economical flop.

Mfuko huu wa kukabili changamoto za kimilenia umejiwekea kanuni moja nchi mwanachama ikionyesha inaweza kusababisha changamoto inatengwa mala moja ili zile changamoto inazosababisha lisiwe tatizo na kupewa muda ijilekebishe.

Ikumbukwe dalaja likiweka ufa ni changamoto likibomoka kabisa ni tazizo, mfuko wa MCC unahimiza tuzikabili changamoto ili Lisiwe tatizo, sasa kuna ubaya gani kwa hio?

Ni safi sana kuwa na bajeti tegemezi tena safi kuliko lakini bado hatujafikia huko tusijidanganye majuzi tu kamati ya bunge ya viwanda na biashara imeshauri tuagize sukari toka nje kweli si kweli , kwa nini imeshauri hivyo imebaini bado hatuwezi kujitegemea mali hiyo.

Nchi zingine zinahitaji msaada toka kwetu na sisi pia tunahitaji misaada toka nchi zingine, kwa hili la kufurushwa kwenye mufuko wa ushirikiano wa kukabili changamoto za kimilenia Tanzania tumefulia.
 
Mkuu Zimbabwe hawana pesa yao tena wanatumia dollar ya marekani,rand ya south Africa na pura ya Botswana,wao kwishile tayari
Halafu huyo zimbabwe ndio role model ya Magufuli. Wach out hapo!

Sent from my SM-G920W8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom