laurent Msembeyu
Senior Member
- Oct 5, 2015
- 121
- 101
Ni rushwa ndiyo iliyoifanya CCM iwe nzuri
Ni rushwa ndiyo ilikuwa inaipamba CCM ionekane ni tamu inapendeza
Ni rushwa ndiyo iliyokuwa inafanya matajiri waikimbilie, wagombee ubunge n.k
Ni rushwa ndiyo iliyomwezesha Mohamed Dewji aliyekuwa mbunge wa Singida mjini apate ubunge huo apige deal serikalini hadi kuwa tajiri anayehesabika Afrika.
Bila rushwa hakuna CCM.
Nakumbuka Enzi za Nyerere bila kufikisha macho wala kumung`unya maneno katika uchaguzi mkuu wa kwanza wa vyama vingi aliyekuwa anagombea ubunge Tabora mjini simtaji jina jina kuna landrover 109 ilionekena inagawa rushwa , rushwa hiyo ilihusishwa na mbunge huyo mwenye asili ya kisomali, na aliongoza kwa kura nyingi sana za mapendekezo, mbona jina lake lilikatwa asubuhi tu?
No rushwa, no CCM,no matajiri kupata ubunge
Sasa CCM inataka kujipambanua na rushwa, sawa ni kitu kizuri sana, isitalajiwe kupendwa kama ilivyopendwa kipindi cha awamu ya nne ambapo rushwa ilishamili kupita awamu zote mpaka matajiri wakaamua waiteke CCM iwe yao.
Yusuf Makamba kwa nini anaendelea kuishi kama jana wakati kumekucha ni leo? Hifi Yusuf Makamba bado anafikiri Edward Lowassa ni fisadi, hivi Makamba sijui Makombo hajawaona mafisadi hadi leo?
Rushwa CCM, CCM rushwa, rushwa ikitoka CCM basi isitegemee kupata ushindi wa kishindo.
Mfano hai, rais wa awamu Fulani simutaji aliwekwa na matajiri wawili, matajiri hao ndio waliomweka madarakani,rais huyo aliwatumikia vizuri sana waliomweka mpaka mwingine sasa ni tajiri sana na amehama nchi yuko Indonesia na mwingine ni tajiri anakaribia kuwa wa kwanza afrika.
Kwa hiyo CCM kama inaamua kujipambanua na rushwa ni safi sana maendeleo yatakuja haraka sana maana maadui wa maendeleo ni wane nao ni Ujinga, maradhi, umasikini na rushwa.