Uwii, Sepp Blutter kamwaga mboga yote

laurent Msembeyu

Senior Member
Oct 5, 2015
121
101
Baada ya kuupiga teke ugali wake Gwiji huyo wa FIFA aliyepigwa bann asijihusishe na masuala ya kabumbu kwa miaka 6 na yeye kaamua kuwaga mboga.

Amesema ule upangaji wa draw baada ya makundi kwenye UEFA ulikuwa unafanywa kwa udanganyifu wa nia ya kupanga team gani ikutane na ipi.

Anasema vile vipila tunavyoviona kwenye chupa vikichanganywa huwa vingine ni vya baridi ya kwenye frigi na vingine vya moto hivyo mchezeshaji ni rahisi kuchukua cha baridi na cha joto kulingana na matwaka ya timu gani icheze na ipi.

Fix hizo zinakuwa hasa kuanzia robo na nusu fainali. Amesema alikuwa anashuhudia kwa macho fix hizo zikifanyika.

Mnaobet hili linawahusu.

Sepp Blatter reveals frozen balls used to fix European club draws, UEFA denies allegations
Posted Tue at 10:57pm

Photo: Sepp Blatter says balls were refrigerated before being picked out at European club draws. (Getty Images: Harold Cunningham)
Map: Switzerland
Former FIFA president Sepp Blatter has said frozen balls containing team names have been used to rig European football's club competition draws.

Draws to decide which teams play each other are conducted by selecting the table tennis-size balls from plastic bowls. The balls are unscrewed to reveal the team names inside.

Blatter, however, insisted the ruse was never used at FIFA.

"Of course it's technically possible. That doesn't happen in FIFA but I witnessed draws, at European level, in which that happened, but never at FIFA," Blatter told Argentine daily La Nacion in an interview on their website.

"You put the balls in the fridge. The mere comparison between them on touching them gives you cold ones and hot ones. On touching them you already know what you've got.

"There was only one person who had that power [to fix draws] in Europe. Artemio Franchi did it for the draw in club tournaments," said Blatter, referring to the late UEFA president who was in charge of Europe's governing body from 1973 until he died in a road accident in Tuscany in 1983.

UEFA described Blatter's allegations as "absurd".

"Allegations that UEFA has in the past fixed draws for its competitions are completely absurd and therefore not worth a reaction," UEFA said in a statement on Tuesday.
 
Amesema timu moja ya Italy alishuhudia inampata mpinzani inayemtaka kwa kufanya kipira cha joto na cha baridi, na ikawa hivyo. Ili kufikia malengo hayo hiyo timu ilitoa mlungula
 
Na yeye ndo magufuli kwann asizuie hzo mambo???kumbe ndo maana kapigwa "Burn" pumbaffffff
Yaani hawa wote ni kenge tu,unajua nini hapo anamlenga Raisi wa FIFA wa sasa ,maana Gianni Infantino ndo alikuwa katibu wa UEFA anaehusika na kuchezesha hizo draw
 
Ndo maana huwa nashangaa, kwa nini kila mwaka Ni Barca Vs Arsenal round 16?! Ni lazima Barca atapita tu, na hela watapiga sababu ya fan base ya timu hizi.

Pia, kwa nini Man U huwa inapangwa makundi mchekea?!
Umemaliza kila kitu mkuu, haiwezekani eti kila draw ni arsenal na barc. Kumbe zile ishu za kuruaha live inakuwa zengwe tu ukweli kila kitu kinakuwa kishajulikana kitambo sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom