Zoezi la uhakiki vyeti likifanyika shule za msingi, nusu ya walimu watakimbia kazi

laurent Msembeyu

Senior Member
Oct 5, 2015
121
101
Wakurugenzi wateule wameombwa kwenda kusaini form za maadili wakiwa na original certificate za masomo yao yote.

Kwa waalimu wa shule za msingi na secondary wakiaambiwa wapeleke vyeti vyao vya form four na darasa la saba vikiwa vimefanana majina wengi hawatapeleka bali wataikimbia kazi, kwa sababu na uhakika :-

1. Wangine wametumia vyeti vya ndugu zao.
2. Wengine wametumia vyeti vya kugushi
3.Wangine wamaajiliwa bila kuonyesha cheti chochote

Makanjanja wengi wameajiliwa wakati wa Rais Kikwete na mapolisi. Kama mnabisha tumshauri Waziri wa elimu aanze zoezi hili.
 
Tukikubali taifa liendeshwe kiujanja ujanja tunajitengenezea bomu wenyewe.
Haiwezekani tunalalamika elimu inayotolewa kwenye shule zetu kuwa ni duni kumbe mojawapo ya sababu ni baadhi ya walimu kutokuwa na sifa stahiki.
Hatujachelewa bado, rais huyu atujengee misingi ya kuishi kwa kufuata taratibu ili kizazi kijacho kisiwe cha magumashi.
Haiwezekani mwenye digrii halali anasota kitaa, yule mwenye kanjanja ni afsa mkubwa tu, hapana.
 
YAA NI MKWELI MKUU
 
Shughulikieni matatizo ya msingi.

Elimu ina changamoto nyingi mno hasa kwenye miundo mbinu:mazingira ya mfundishaji na mfundishwaji. Zana za kufundishia.

Maslahi ya mfundishaji. Kwa kutaja machache.
 
Voda fasters Teachers ni Wengi.... vilaza... Nursing usizime.... vishoka kila Idara!! Almashauri
 
Wakurugenzi wateule wameombwa kwenda kusaini form za maadili wakiwa na original certificate za masomo yao yote.

Kwa waalimu wa shule za msingi na secondary wakiaambiwa wapeleke vyeti vyao vya form four na darasa la saba vikiwa vimefanana majina wengi hawatapeleka bali wataikimbia kazi, kwa sababu na uhakika :-

1. Wangine wametumia vyeti vya ndugu zao.
2. Wengine wametumia vyeti vya kugushi
3.Wangine wamaajiliwa bila kuonyesha cheti chochote

Makanjanja wengi wameajiliwa wakati wa Rais Kikwete na mapolisi. Kama mnabisha tumshauri Waziri wa elimu aanze zoezi hili.
Unaongea kwa hisia ama with facts!? Maana umetamka kabisa kuwa Nusu na kutoa hoja natharia!
 
acheni umbea mkiambiwa msome education mnakataa..mlitegemea serikali ingepata wapi walimu wa kwenda sitimbi....sasa wenzenu wanakula bataz batan huko vijijini nyie mmekazana na vyeti feki...anyways mweZ ujao wanaongezewa salary mlie tu
 
Tukifanya kazi ufaulu ukipanda serikali imechakachua, watoto wakifeli walimu hawafundishi, mishahara midogo sisi, mikopo mingi sisi, vyeti vya kughushi sisi, tuliofeli sisi, dezo sisi, migomo sisi, hivi jamani hamuoni mateso haya. Ukivuka mto usimtukane mamba, pamoja na matatizo yote hayo leo unafahamu hata kusoma tarakimu ya pesa unayoipata, Walimu walikaguliwa wakamaliza Bado kunani? MWL. JEURI
 
Back
Top Bottom