laurent Msembeyu
Senior Member
- Oct 5, 2015
- 121
- 101
Nape Nnauye-Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo
Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo Mh. Nape Nnauye amesema ataipitia ripoti ya hukumu iliyotolewa kwa waliokutwa na hatia kwenye sakata la upangaji
KICHWA CHA HABARI KINASEMA ETI KWA NINI MKOA MZIMA UAZIBIWE KWA UPUUZI WA WATU WACHACHE?
Mimi ninamjibu huyu wa kukurupuka
Hata FIFA inasaheria kali sana kuhusu haya mambo ya kupanga matokeo
pili huyu waziri aache utamaduni wa Kikwete wa kufanya kazi kwa mazoea, jitahidi kwenda na kasi ya JPM ambae rushwa na kupanga matokeo ni haramu kwake
Mimi nilifikiri waziri huyu atawaongezea adhabu badala ya comment aliyotoa , amabyo imenifanya nimzarau kabisa.
Amesema akirudi atapitia report nzima halafu eti atatoa msimamo wa serikali, akiamua tofauti na maamuzi ya TFF nitamshauri rais Magufuli amfukuze kazi
Mwisho kwenye suala la Tanzania kuondolewa misaada ya MCC mbona Tanzania nzima inaazibiwa kwa upuuzi wa Shein na Jecha? Na hilo nalo aseme.