laurent Msembeyu
Senior Member
- Oct 5, 2015
- 121
- 101
Ni kweli?hawatimizii wanabaki kutumiwa na walinzi
Dah,mjomba bado anaoa tu,kha!kuna watu wanafaidi jasho la wanyonge kiulaini aisee.Inamaana hao waswazi ni matajiri kiasi gani mpaka kuwezakutunza familia ya mkulu kiasi icho.Africa bwana kila kituko sisi tu,maendeleo zero.
Huyu ni Mke mpya wa mfalme Mswati amemuowa siku tatu zimepita, ni moto wa kuotea mbaliii.
atakuwa ni mke wa 15.
Huyu mfamle ana abudu kupitia dini gani?
Ok na anafungishwa ndoa kanisani?Mkristo huyo
Washamgongea sanaWatamgongea sana.