Kuwepo kwa Mbunge Godfrey Mlinga na Nape Nnauye

laurent Msembeyu

Senior Member
Oct 5, 2015
121
101
Kuwepo kwa wabunge hao katika bunge la 11 kutafanya bunge hilo miaka 5 iwe mingi sana.

Nimeona kwa macho yangu wananchi kazaa wakiona Nape wanaondoa haraka sana nuso zao au kama TV wanazima au kama ni gazeti basi gazeti hilo siku hiyo litabaki ubaoni, vile vile mtoo wa Cellina Kombani amebore haraka sana.

Wabunge hawa watatufanya tuone miaka 5 ni mingi sana.
 
Awamu ijayo watakaa bench mkuu ninawaombea sana kwa Mungu.Wanacheza na kodi zetu.Eti jamaa anadai anapendwa sana jimboni kwake na atarudi tena,mimi namuombea asirudi asikie bunge redioni kama waliokua wanajiita waandamizi ndani ya bunge na hatimaye wananchi wakawaandama
 
Back
Top Bottom