Search results

  1. Zipuwawa

    Alisema Marehemu Deo Filikunjombe

    Wakuu Tumkumbuke Marehemu Deo Fillikunjombe aliposema kuna mawaziri si waaminifu ni hatua gani zilichukuliwa. Leo sauti yake inabaki pale pale kuna viongozi si waaminifu. Kwanini wabunge wa ccm wasimuenzi marehemu Deo Fillikunjombe?
  2. Zipuwawa

    Viwanja vinauzwa Morogoro

    Viwanja vilivyopimwa vipo pamoja maeneo ya mizani Morogoro mjini vinauzwa bei nafuu na kingine kipo lukobe. Bei maelewano atakaehitaji. Asanteni
  3. Zipuwawa

    Unakumbuka nini Hapa?

    Kati ya simu hizo ni wazi kuwa sisi tuliokula chumvi nyingi lazima ulimiliki kati ya simu hizo je unakumbuka nini?
  4. Zipuwawa

    Kma unataka panda twende!

    Kama unataka panda twende bwana
  5. Zipuwawa

    Unajua ukitaka kuoa maandalizi yakoje?

    JAMANI KUOA SI JAMBO DOGO, UNATAKIWA UWE UMEJIANDAA: Hivi jamani, mnazijua gharama anazoingia bwana harusi hadi anapooa? Katika hali ya kawaida kabisa, kama wewe ni mwanaume na unataka kuoa, jiandae kwa mambo haya: (hizi ni gharama utakazoingia nje ya michango ya harusi) 1. Kujitambulisha...
  6. Zipuwawa

    Mwai Kibaki awadharau watanzania!

    Rais wa kenya Mwai Kibaki leo akiwahutubia wazee wa Dar kwa niaba ya Watanzania amesema ''Watanzania hamjazoea kutembea'' maana yake kuwa watanzania wengi wanaishi Tanzania tu Je hi si dharau kwa Watanzania? Inamaana Watanzania huushi pwani tu na hatutoki nje ya nchi hivyo akasisitiza tuende...
  7. Zipuwawa

    Aibu kwa vyombo vya habari Tanzania

    Wengi watadhani ninachokiandika hapa ni cha kijinga ila vyombo vya habari vya Tanzania vina tia Aibu. Kazi ya vyombo vya habari ni kupasha habari jamii hasa pale habari zozote muhimu au mbaya zinapotokea. Lakini imekuwa tofauti kwa vyombo vya habari Tanzania yapo kama sasa kuna matukio mengi...
  8. Zipuwawa

    Inasikitisha naomba ushauri wako mwana JF

    Hili limetokea sasa hivi naomba ushauri wako ili angalau maamuzi yangu yasiwe mabaya. Mimi nina ndugu yangu amabaye ni mtoto wa Mama yangu mdogo yeye kwa sasa ni marehemu ambaye alijaliwa kuzaa watoto wanne wakike wawili na wakiume wawili, sasa nilipokwenda liziko mwezi uliopita nilikuta yule...
  9. Zipuwawa

    Lowassa: Mkapa alikuza uchumi, JK punguza matumizi

    Waziri Mkuu aliyejiuzulu na Mwenyekiti wa kamati ya mambo ya nje, ulinzi na usalama Mh. Edward Lowassa atazungumzia mgogoro wa Malawi kuhusu ziwa nyasa na pia ugawaji vitalu migodini Katika Kipindi cha SAA 3.00: DAKIKA 45 Kupitia Runinga ya ITV. Najiuliza maswali alistaili kuongelea...
  10. Zipuwawa

    Mh Pinda Acha Uoga!

    Mh Waziri Mkuu sasa ameanzisha Tabia ya kukimbia Kila alhamis ya week ili kukwepa Maswali ya papo kwa Papo! Ilikuwa kila week akiulizwa maswali lakini kwa sasa amekuwa kila jumatano anaopa ruhusa ya kusafiri, Kama mnakumbuka toka atoe tamko la liwalo na liwe hadi sasa anaogopa kukaa pale alhamis...
  11. Zipuwawa

    Mh Spika Makinda unatupeleka wapi?

    Mh Spika Toka Jana ameanzisha kamchezo ka ajabu mara baada ya maswali na majibu anajifanya anakazi nyingine na kumuita Mwenyekiti wa Bunge kusimamia Bunge. Ila Sasa hivi ameanzisha katabia ka kuzuia mijadala hasa ile ya Miongozo amabayo Wabunge huja nayo Mara baada ya maswali na majibu...
  12. Zipuwawa

    Natamani Mgomo wa walimu ungetokea...!

    Wana Jamvi Natamani huu mgomo wa Walimu ungetokea kipindi cha miaka 1994 hadi 2002. Hakika kipindi hicho wanafunzi hata wa shule za msingi walikuwa wanaumri mkubwa na wenye kufikiria na kuweza kuchukua hatua kuliko leo hii watoto wote ni wadogo wasioelewa chochote hata hawaelewi chochote. Mfano...
  13. Zipuwawa

    Fundisho gani serikali imepata kutokana na haya majanga?

    Hakika Mungu amejaribu kuionesha Serikali ya Tanzania kutokana na Mzaha mzaha unaofanywa na serikali hii. Uzamaji wa Boti Zanzibar umetokea wakati Wizara ya mambo ya ndani kupitia majeshi yake yanayopaswa kusimamia usalama na ukoaji yalivyoonesha udhaifu mkubwa kuanzia taarifa mpaka uokoaji...
  14. Zipuwawa

    Vyomba vya Habari kuweni makini

    Mara nyingi nimekuwa nikifuatilia Taarifa mbalimbali za Habari kupitia Vyombo tulivyonavyo Tanzania. Na Siku hizi angalau ITV huwa wanahabari za Maana kidogo na Star TV kwasasa lakini TBC ambayo ni chombo cha Taifa nilisha kisahau kabisa kwa habari zao kwani huwa hawana habari za maana...
  15. Zipuwawa

    Kizaa zaa Bungeni ktk Hotuba ya Kambi ya upinzani

    Hotuba ya Kambi ya Upinzani inayosomwa sasa hivi yazua kizaa zaa
  16. Zipuwawa

    Serikali inacheza na swala hili!

    Je Kama kweli Serikali imedhamilia kuleta madaktari wa kigeni kuchukua nafasi ya hawa waliogoma kutokana na mazingira magumu ikiwemo maslai duni na kutokuwepo kwa vifaa mbalimbali hosp. Je kama Hao Madaktari kutoka nje ya nchi watakuja na vifaa? Je Wauguzi watakubali kushirikiana nao? kwani...
  17. Zipuwawa

    Serikali inacheza na swala hili!

    Je Kama kweli Serikali imedhamilia kuleta madaktari wa kigeni kuchukua nafasi ya hawa waliogoma kutokana na mazingira magumu ikiwemo maslai duni na kutokuwepo kwa vifaa mbalimbali hosp. Je kama Hao Madaktari kutoka nje ya nchi watakuja na vifaa? Je Wauguzi watakubali kushirikiana nao? kwani...
  18. Zipuwawa

    JK amegoma kuhutubia Wazee wa Dar?

    Tuka nipate taarifa kupitia vyombo vya habari kama ITV kuwa Rais atahutubia Taifa leo hadi muda huu yupo kimya na hakuna taarifa zozote. Je huu si ubabaishaji mwingine? kwa watanzania kudanganywa na Rais au waliotoa taarifa hizi hawakuwa na taarifa kamili? Au lengo ni taarifa zitolewe usiku...
  19. Zipuwawa

    Je? Haya majukumu ya Makamu wa Rais anaagizwa na Rais?

    47.-(1) Kutakuwa na Makamu wa Rais ambaye atakuwa ndiye Msaidizi Mkuu wa Rais kuhusu mambo yote ya Jamhuri ya Muungano kwa jumla, na hususan- (a) atamsaidia Rais katika kufuatilia utekelezaji wa siku hata siku za Mambo ya Muungano; (b) atafanya kazi zote atakazoagizwa na Rais; (c) atafanya kazi...
  20. Zipuwawa

    Haya majukumu ya Makamu ya Rais anaagizwa na Rais?

    47.-(1) Kutakuwa na Makamu wa Rais ambaye atakuwa ndiye Msaidizi Mkuu wa Rais kuhusu mambo yote ya Jamhuri ya Muungano kwa jumla, na hususan- (a) atamsaidia Rais katika kufuatilia utekelezaji wa siku hata siku za Mambo ya Muungano; (b) atafanya kazi zote atakazoagizwa na Rais; (c) atafanya kazi...
Back
Top Bottom