Natamani Mgomo wa walimu ungetokea...! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natamani Mgomo wa walimu ungetokea...!

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Zipuwawa, Jul 31, 2012.

 1. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #1
  Jul 31, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Wana Jamvi Natamani huu mgomo wa Walimu ungetokea kipindi cha miaka 1994 hadi 2002. Hakika kipindi hicho wanafunzi hata wa shule za msingi walikuwa wanaumri mkubwa na wenye kufikiria na kuweza kuchukua hatua kuliko leo hii watoto wote ni wadogo wasioelewa chochote hata hawaelewi chochote.

  Mfano Shule za Secondary kama Tambaza, Mazengo, Kibaha, Ruvu, Bagamoyo, malangali, Mkwawa,tosa ,Ndanda,Kigonsera. Hakika kupitia migomo hii kungetokea uharibifu mkubwa mbali ya zile shule za msingi ambazo mtoto yupo darasa la saba anamiaka 18 au 20.

  Hakika Narudia kusema natamani mgomo huu ungekuwa kipindi hicho ambacho hata watoto walikuwa ni majasiri na waelewa leo hii tungekuwa tunasimulia mengine.

  Walimu endeleeni kudai haki zenu japo wale waimu waliosoma enzi hizo ndio wenye kulata vuguvugu hili lakini wale wangu waliokuwa wa UPE ....wakijulikana Ualimu pasipo Elimu wanjuta kusikia mgomo kama huu kwani wao walishazoea ndio mzee!

  Mwana jamvi unalielezeaje hili lingetokea kipindi hicho?
   
Loading...