Zipuwawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 3,051
- 655
Unauliza hatua? Ilikuwa kumtanguliza mbele za haki. Wewe unaijua chama dola wewe, ? Siku ukimkuta mbinguni kamuulize. RIP DeoWakuu
Tumkumbuke Marehemu Deo Fillikunjombe aliposema kuna mawaziri si waaminifu ni hatua gani zilichukuliwa. Leo sauti yake inabaki pale pale kuna viongozi si waaminifu. Kwanini wabunge wa ccm wasimuenzi marehemu Deo Fillikunjombe?
Wote waliopanga na kutekeleza zoezi la kuangusha helikopta iliyombeba Deo wakiongozwa na Singa singaUtawanyoa wa ngapi?
AiseWote waliopanga na kutekeleza zoezi la kuangusha helikopta iliyombeba Deo wakiongozwa na Singa singa
Inauma na kutia hasiraAisee. Mungu amlaze mahali pema peponi, Mh.Deo Filikunjombe. Unajua mambo haya yanaweza kusababisha hit squad za kubalansi unyama uliofanywa dhidi ya wale waliokufa ndani ya Helikopta iliyokuwa imembeba, Mh. Deo. Na mara nyingi hit squad hizi..... hacha niishie hapa maana inauma sana. Nenda na R.I
P Deo.
Aise