Search results

  1. Tigga Mumba

    Wake zetu na Ma Housegirl

    Nawasalim, Ninadhani hii topic ilishakuja mara kadhaa lakini nashare nanyi hii kitu inayonifanya nikose raha sana nyumbani. Tuna wiki sasa amekuja msichana mdogo wa kazi kwa ajili ya kusaidia pale nyumbani. Mke wangu anamkosoa huyu dada kwa kila jambo tena kwa ukali. Mara nyingine naona kabisa...
  2. Tigga Mumba

    Style ya kujiua

    Jamaa ajiua kwa kujipiga risasi mbili za kichwani........
  3. Tigga Mumba

    Illuminati- US government of defence

    Aisee ukitype neno illuminati kwa kugeuza na kuweka .com inakupeleka website ya serikali ya marekani-ulinzi..... Type itanimulli.com ujionee
  4. Tigga Mumba

    Rushwa ya NGONO yamponza mfanyakazi wa kike

    Nimepewa hii story jana na rafiki yangu. Kuna dada mmoja binti mdogo kama 24yrs old, alitoa rushwa ya ngono ili aajiriwe kampuni fulani. Alimpa rushwa ya ngono Manager fulani wa Operations ambaye naye akampatia kazi mara moja. Kilichotokea, yule binti akapewa miezi mitatu ya probation ofisini...
  5. Tigga Mumba

    Mama Mkwe wangu simuelewi!!!

    Nawasalimia wana JF. Nashukuru sana kwa kunipa ushauri kipindi kile nina matatizo na mchumba wangu. Nafurahi kuwa ushauri ulisaidia na nilishawafahamisha kuwa tunaelekea mipango ya ndoa. Kitu kipya kimetokea ambacho kwa bahati mbaya sikuwashirikisha.,,, MAMA MKWE!!!! Kwanza nianze kwa kusema...
  6. Tigga Mumba

    Usitupe taka hapa-Masaki

    Nimekutana na hii kitu masaki.... Hiyo dola 3000 duh!!
  7. Tigga Mumba

    Mtwara Airport VIP

    VIP hiyo hapo hahaha
  8. Tigga Mumba

    Delhi row over bus lane reveals class divide in society- Mabasi yaendayo kasi

    Nimekutana na hii habari BBC kuhusiana na fast lanes za mabasi yaendayo kasi. Tayari huko India controversy imeanza kutokea. Je hapa kwetu tumejiandaa? Nawasilisha. By Rajesh Joshi BBC Hindi, Delhi Experts say the controversy over the bus corridor reflects class divisions in the Indian...
  9. Tigga Mumba

    Mchumba ninayekaribia kumuoa mjamzito

    Nawasalimia... Mchumba ninayekaribia kumuoa(early next year) ni mjamzito wa miezi michache ya kwanza. Mahari ilikwishatolewa, sasa tuko kwenye vikao vya harusi/sendoff. Tatizo sasa; dakika moja katapika.... Yani nahisi anajifanyisha..... Analegea akisimama kidogo eti amechoka..... Hivi ni...
  10. Tigga Mumba

    Jamii forums application

    Nawasalim. Kwa wanaotumia android operating system kuna application ya jamii forum. Kwenye google play search jamiiforums zitakuja mbili, mimi nimeinstall ya anodexter. Very cool app.
  11. Tigga Mumba

    Nissan Patrol ikivuta Kijiko cha mchanga(Bulldozer)

    Nimekutana nayo leo asubuhi msasani Tanesco,,,,
  12. Tigga Mumba

    Hussein Tuwa vs Eric Shigongo (Riwaya)

    Kucompare watu maarufu si kitu kibaya, mara nyingi ni kuangalia mazuri na kuyaendeleza na yale mapungufu kuyarekebisha. Kwenye suala la hadithi(riwaya) za magazetini, mimi nilijitahidi sana kufuatilia hadithi za Eric Shigongo(Ijumaa) na hadithi mbili tu za Hussein Hassan Tuwa(Mtuhumiwa na...
  13. Tigga Mumba

    Falviana Matata vs Jokate Mwegelo

    Hawa wadada wote wana public figure inayopendeza. Mimi naona Flaviana Matata amemzidi Jokate kwa vitu vingi. E.g. Exposure, muonekano katika jamii even pesa. Jokate amemzidi Flaviana Elimu, urembo kiasi labda na kashfa za "Diamond na Wema." Je wewe kwa maoni yako unaonaje?
  14. Tigga Mumba

    Mchumba ninayekaribia kumuoa simuelewi

    Naomba ushauri wenu. Nina mchumba wangu tumekaa muda mrefu kama miaka 5 hivi. Sasa tumeona ni muda muafaka wa kuoana. Kipindi kirefu cha uhusiano wetu hatukuwa tunaishi pamoja as yeye alikuwa anasoma mkoa mwingine nami mwingine. Lakini hii haikupunguza mapenzi yetu maana tulikuwa tunawasiliana...
  15. Tigga Mumba

    Wachumba zetu na MA GUY FRIENDS

    Hii kitu inanikera sana na akina dada mlioko kwenye mahusiano mnatakiwa mtambue hili. Kuna haja gani ya kuwa na utitiri wa ma GUY FRIENDS? Ukisisitiza kuwa eti marafiki zako wengi wa kike hawako BBM na Facebook!! Fahamu tu hao ma GUY FRIENDS wote wanatamani kukuvua nguo siku moja na kufanya...
  16. Tigga Mumba

    Mapinduzi Zanzibar mwisho mwaka huu

    Natamani hizi sherehe za mapinduzi mwakani siziwepo kwetu watanganyika. Ziwe kwao tu sisi tuna sherehe moja tu ile ya December 9.
  17. Tigga Mumba

    Mchumba wangu ni mzuri sana

    WanaJF hii kitu inaniumiza kidogo kidogo ingawa navumilia. Mpenzi wangu ambaye nimekaa nae miaka mitatu ni mzuri mno kwa sura mpaka naogopa. Ana kama mvuto fulani na kama kawaida wanaume kutongoza lazima. Nimejitahidi kujifanya sina wivu lakini wapi. Tutaoana soon Mungu akijaalia na ananipenda...
  18. Tigga Mumba

    Nikiwa Rais wafuatao wakimbie nchi siku hiyo hiyo

    Rostam, JK, Manji, EL, Riziwan, Makinda, vijisenti, na kuna vijamaa vingine majina yananitoka maana povu la hasira linanitoka
  19. Tigga Mumba

    Airtel mmeanza kipuuzi

    Kweli bongo bado tuko nyuma kwenye customer care and follow up. Hili li modem la KIHINDI LA AIRTEL toka jana usiku ukiconnect ukafungua page tu linajidisconnect. MODEM yenyewe nilinunua airport jumapili na haikufanya kazi eti mpaka niende kituo cha kuhudumia wateja. AIRPORT mmeziweka za nini...
  20. Tigga Mumba

    Zain call centre

    Nimenunua modem ya zain airport leo hii na kuambiwa kuwa nimepewa 8GB kwa mwezi mzima. Mpaka sasa inakataa, inaleta error code wakati wa kudial. Nimepiga zain call centre toka saa kumi na nusu hawapokei. ZAIN SUCKS
Back
Top Bottom